Wabunge Kenya waanza mikakati ya kujilimbikiza mishahara wananchi nao wagoma!

Wabunge Kenya waanza mikakati ya kujilimbikiza mishahara wananchi nao wagoma!

haya bwana, tusilaumiane! Pig+14-02.jpgA demonstrator carries head of a pig that was slaughtered and blood poured in front of Parliament to show his dissatisfaction with Kenyan MPs to increase their pay and threat against SRC. Civil organizations took the street but were dispersed by police. DENISH OCHIENG (NAIROBI)
 
Kumbe hata Nairoberry kuna manjagu wana hasira kama hawa Policcm
 
umoja wetu upo machon tu ndan yetu ni fis vs bucha
 
Polisi wa Nairobi nchini Kenya Jana walitumia Mabobu ya Machozi kuwaazuia Wanaharakati wa Asasi mbalimbali na Wananchi wa kawaida waliokua wakiandamana na kutaka kuingia ktk Jengo la Bunge kupinga kitendo cha Wabunge hao waliochaguliwa takriban miezi miwili iliyopita kutaka kujiongezea Mshahara na Marupurupu!!

Waandamanaji hao walikua na Mabango yenye Ujumbe mbalimbali na huku Wakiwa na "NGURUWE" waliolishwa Damu,Wakiwafananisha na Wabunge wao kwa Kitendo chao cha kutaka Kujiongezea mshahara kuwa ni ULAFI KAMA WA NGURUWE na kuwa Wanataka Kuwanyonya Wanakenya Damu zao.

Kwa Tanzania sijui kama jambo kama hili linawezekana ukizingatia kwamba Wananchi wa Tanzania wamezoea Kuburuzwa na Watawala na hata Wabunge tuliowachagua.
Tumeshuhudia Bunge la Tanzania likipitisha Miswada Mibovu huku baadhi ya Wabunge hususan wa CDM wakipinga lakini kwa sababu ya Uchache wao bado Miswada hiyo ilipita.
Hatukuona wananchi wakionyesha hisia zao kupinga Baadhi ya Sheria Kandamizi ambazo zimekua zikipitishwa na Bunge kwa Maslahi ya Wachache.

Mwanzoni mwa mwaka huu nchini Kenya kabla ya Uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, Wana harakati na Wananchi wa kawaida waliandamana na MAJENEZA hadi Majengo ya BUNGE kupinga Kitendo cha Wabunge waliokua wanamaliza Muda wao kutaka kujilipa pesa nyingi zaidi ya ml 150 za Kitanzania kwa kila Mbunge.

Je watanzania Sisi nani Katuloga hata tushindwe kupinga Baadhi ya Mambo yanayofanywa na Wabunge wetu mfano Kugeuza Bunge kuwa Sehemu ya Mipasho na Ngonjera huku Maswala Muhimu kama Maji Afya Elimu nk.yakikosa Wasemaji??

Sifa kubwa ya watanzania ni Woga; ujuha (umbulula a.k.a Umbuluzwa!) na unafiki, no wonder utawasikia wakenya wengi wakicoment hapa na pale kwamba waTz ni maziwa lala; na hii ndio dhambi itakayotesa vizazi vyetu vijavyo;

Badala ya kusimama kidete kuwaunga mkono kwa hali na mali wabunge wanaohatarisha maisha yao kutetea maslahi genuine ya taifa, watz wengi tunawabeza na kuwakebehi!

Historia haitatusamehe kwa uzandiki huu!
 
Last edited by a moderator:
Naona mabango hayatumiki tena,
watu wamekua wabunifu, wanatumia mdudu kufikisha ujumbe...!
 
haya bwana, tusilaumiane!View attachment 93775A demonstrator carries head of a pig that was slaughtered and blood poured in front of Parliament to show his dissatisfaction with Kenyan MPs to increase their pay and threat against SRC. Civil organizations took the street but were dispersed by police. DENISH OCHIENG (NAIROBI)

Hii kitu kumbe ni multi purpose??

Kuna steki inaonekana hapo wala haina mafuta....dah!! Aiseee weka na ndizi 2 tafadhali
 
Kenyans are becoming more informed than the MPs who are believed hold various titles. The protestors made their point and set forth the message very clear and loud using those pigs.unfortunately they bore the wrath that was supposed to be directed to the mPS.. It is a pity though how those piglets were violently handled.
that expression just shows how for long the frustrations of kenyans were bottled up. next time it will be more 'civil'.
 
hawa wa kwetu kiboko wanakunyamazisha milele ...
 
hawa walikula wale kitimoto
 
Attachments

  • 294887_10151472770636997_1128094412_n.jpg
    294887_10151472770636997_1128094412_n.jpg
    17.4 KB · Views: 90
haya bwana, tusilaumiane!View attachment 93775A demonstrator carries head of a pig that was slaughtered and blood poured in front of Parliament to show his dissatisfaction with Kenyan MPs to increase their pay and threat against SRC. Civil organizations took the street but were dispersed by police. DENISH OCHIENG (NAIROBI)

This is it,,,,,wabunge wa Kenya walisahau,,kwamba,,,wa Kenya ni
wazimu kuwaliko
,,,now,,they got the medicine,,they had asked for.

This whole thing,,,the demo,,displaying pigs as greedy members of
parliament,,,really surprised the 'honorable' members, leaving them in
a state of confusion, embarrassment and anger.

A very nice one,,,,,kwani,,,hakuna chochote wanaweza kufanya,,,,
hawa wabunge,,,walevi.
:heh:

The good thing is that,,,,after taking a dose of the medicine,,
the MP's are very quite,,for the moment and no one is talking
about salaries.

Where is mr Atwoli of the COTU??????🙂

Thanx people for showing these MP's,,,that Kenya inawenyewe
na,,,kwa bw Okiya omtata,,,,
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wewe ni wetu.
 
Jammu Africa, ushahidi mwingine kuwa haki haitolewi bali nadaiwa. Nawapongeza wananchi wa Kenya kwa kuchukua hatua badala ya kukaa na kulalamika bila matendo

Back
Top Bottom