Wabunge Kenya waanza mikakati ya kujilimbikiza mishahara wananchi nao wagoma!

haya bwana, tusilaumiane! A demonstrator carries head of a pig that was slaughtered and blood poured in front of Parliament to show his dissatisfaction with Kenyan MPs to increase their pay and threat against SRC. Civil organizations took the street but were dispersed by police. DENISH OCHIENG (NAIROBI)
 
Kumbe hata Nairoberry kuna manjagu wana hasira kama hawa Policcm
 
umoja wetu upo machon tu ndan yetu ni fis vs bucha
 

Sifa kubwa ya watanzania ni Woga; ujuha (umbulula a.k.a Umbuluzwa!) na unafiki, no wonder utawasikia wakenya wengi wakicoment hapa na pale kwamba waTz ni maziwa lala; na hii ndio dhambi itakayotesa vizazi vyetu vijavyo;

Badala ya kusimama kidete kuwaunga mkono kwa hali na mali wabunge wanaohatarisha maisha yao kutetea maslahi genuine ya taifa, watz wengi tunawabeza na kuwakebehi!

Historia haitatusamehe kwa uzandiki huu!
 
 
Last edited by a moderator:
dah.....................masikitisho sana
 
Naona mabango hayatumiki tena,
watu wamekua wabunifu, wanatumia mdudu kufikisha ujumbe...!
 

Hii kitu kumbe ni multi purpose??

Kuna steki inaonekana hapo wala haina mafuta....dah!! Aiseee weka na ndizi 2 tafadhali
 
Kenyans are becoming more informed than the MPs who are believed hold various titles. The protestors made their point and set forth the message very clear and loud using those pigs.unfortunately they bore the wrath that was supposed to be directed to the mPS.. It is a pity though how those piglets were violently handled.
that expression just shows how for long the frustrations of kenyans were bottled up. next time it will be more 'civil'.
 
hawa wa kwetu kiboko wanakunyamazisha milele ...
 
hawa walikula wale kitimoto
 

Attachments

  • 294887_10151472770636997_1128094412_n.jpg
    17.4 KB · Views: 90

This is it,,,,,wabunge wa Kenya walisahau,,kwamba,,,wa Kenya ni
wazimu kuwaliko
,,,now,,they got the medicine,,they had asked for.

This whole thing,,,the demo,,displaying pigs as greedy members of
parliament,,,really surprised the 'honorable' members, leaving them in
a state of confusion, embarrassment and anger.

A very nice one,,,,,kwani,,,hakuna chochote wanaweza kufanya,,,,
hawa wabunge,,,walevi.
:heh:

The good thing is that,,,,after taking a dose of the medicine,,
the MP's are very quite,,for the moment and no one is talking
about salaries.

Where is mr Atwoli of the COTU??????🙂

Thanx people for showing these MP's,,,that Kenya inawenyewe
na,,,kwa bw Okiya omtata,,,,
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wewe ni wetu.
 
Jammu Africa, ushahidi mwingine kuwa haki haitolewi bali nadaiwa. Nawapongeza wananchi wa Kenya kwa kuchukua hatua badala ya kukaa na kulalamika bila matendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…