Wabunge Maarufu ambao ni Mabachela na Mamachela'

Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata

Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!

Olewa ww ili unatambulishwa bc, kama unataka kutambulishwa, maana unakihere here kama mke wa baloz
 
sugu ana mke, mbowe ana mke msigwa ana mke, slaa ana mke,lema ana mke, mdee anaishi na mchumba! sasa sijui povu la nne!!!!
 
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata

Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!

mdee kwani bachela? si walisema kaoana na yule mbunge wa kule kwa wasssira au nilisoma vibaya
 
watu watu wameshindwa kutongoza wataweza kuongoza?uongozi inaanzia kwenye familia na hawana.
 
Umetumia ibara ya 18 ya katiba ya sasa vizuri, lakina hoja huna, I'm sorry to say so!!!!
 
sugu ana mke, mbowe ana mke msigwa ana mke, slaa ana mke,lema ana mke, mdee anaishi na mchumba! sasa sijui povu la nne!!!!

ha ha ha..umesema Dr W.P.Slaa ana nini?....

nashindwa kuelewa kipindi anafundisha mambo ya ndoa akiwa padre aliwafundisha waumini wa dini yake kikomo cha uchumba ni muda gani!!!!

Mbowe ana Michepuko siyo mke.

Msigwa ni Mtu anajielewa hana character za uzinzi kama mbowe na slaa usimuweke group hilo tafadhali.
 
sugu ana mke, mbowe ana mke msigwa ana mke, slaa ana mke,lema ana mke, mdee anaishi na mchumba! sasa sijui povu la nne!!!!

hawajawahi kuwaonyesha sehemu maalum ambazo wamealikwa kiheshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…