Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata
Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!
Huu upuuzi umeingiaje jukwaa la siasa? Mods mko wapi?
hii id lazima ni ya mwl kaijage!
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata
Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!
sugu ana mke, mbowe ana mke msigwa ana mke, slaa ana mke,lema ana mke, mdee anaishi na mchumba! sasa sijui povu la nne!!!!
Mtamzalilisha mheshimiwa spika hapa sasa hivi!
sugu ana mke, mbowe ana mke
msigwa ana mke, slaa ana mke,lema ana mke, mdee anaishi na mchumba!
sasa sijui povu la nne!!!!
Mtamzalilisha mheshimiwa spika hapa sasa hivi!