Wabunge Maarufu ambao ni Mabachela na Mamachela'

Ujinga siyo lazima uokote makopo. Kwani ukioa akili au uzalendo unaongezeka? Fuatilia historia ya Marekani iliyowahi kuongozwa na Marais wasiooa, linganisha maendeleo yake na nchi yetu iliyobahatika kuongozwa na Marais wenye wake zaidi ya mmoja na masuria wasio na hesabu!
 
kama huu uzi utakuwa umelipwa, basi mtakuwa mmeishiwa na hoja vijana wa lumumba. halafu hayo maisha ya mtu binafsi, jadili ishu za taifa kwa ujumla, au kama ubongo wako umejaa mamung'unya sitashangaa.
 
Umesema WABUNGE wasio oa wala kuolewa sasa hapo Dr Slaa kaingiaje?Dr Slaa ni mbunge wa Jimbo gani?

Aheri ya hawa Wabunge wasio oa wala kuolewa kuliko kadhia za picha za uchi za Mbunge Captain Komba na visichana vyake under ages
kuu mahaba yakizidi huwa yanapofua, huyu mleta post hii ni kipofu kwa mahaba aliyo nayo kwa ccm, vinginevyo angetafakari na kugundua kuwa hiyo hoja yake inawahusu hata wabunge wa vyama vingine hasa ccm iliyojaa akina kapuya.
 
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata

Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!

Unataka kuolewa na mbunge? Mbona hatujswahi on a hsdharani wengi tu.mwigulu.nape.mrema.lipumba.Sophia simba .batlda buriani.Hussein mwinyi.etc na wenzi wao
 
Acha kudharirisha watu na Mahusiano yao Binafsi , :confused3:Maisha ni kuchagua ndio wamechagua hivyo tatizo liko wapi ?? Kuongoza ni karama hakuingiliani na kuoa/kuolewa ....By the way Ndoa nyingi za Viongozi ni za kisanii tu , refer Komba alitamka mwenyewe hadharani kwenye Mkasi Jinsi anavyozaa zaa kila kukicha na kumpelekea Mkewe aleee ? Hiyo ndio maana halisi ya Ndoa Mdau :A S 109:??? Refer Kapuya aliyoyafanya hiyo ndio maana halisi ya Ndoa ?? .......Wengine Malizia :closed_2:
 
Ujinga siyo lazima uokote makopo. Kwani ukioa akili au uzalendo unaongezeka? Fuatilia historia ya Marekani iliyowahi kuongozwa na Marais wasiooa, linganisha maendeleo yake na nchi yetu iliyobahatika kuongozwa na Marais wenye wake zaidi ya mmoja na masuria wasio na hesabu!

Unalinganishaje Marekana iliyopata uhuru zaidi ya miaka 250 na Tanzania ya juzi miaka 50?
 
Acha kudharirisha watu na Mahusiano yao Binafsi , :confused3:Maisha ni kuchagua ndio wamechagua hivyo tatizo liko wapi ?? Kuongoza ni karama hakuingiliani na kuoa/kuolewa ....By the way Ndoa nyingi za Viongozi ni za kisanii tu , refer Komba alitamka mwenyewe hadharani kwenye Mkasi Jinsi anavyozaa zaa kila kukicha na kumpelekea Mkewe aleee ? Hiyo ndio maana halisi ya Ndoa Mdau :A S 109:??? Refer Kapuya aliyoyafanya hiyo ndio maana halisi ya Ndoa ?? .......Wengine Malizia :closed_2:

Uongoz bora unaanzia kwenye familia.
 
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata

Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!

Non sense.... Kakojoe ukalale.....
 
Acha kudharirisha watu na Mahusiano yao Binafsi , :confused3:Maisha ni kuchagua ndio wamechagua hivyo tatizo liko wapi ?? Kuongoza ni karama hakuingiliani na kuoa/kuolewa ....By the way Ndoa nyingi za Viongozi ni za kisanii tu , refer Komba alitamka mwenyewe hadharani kwenye Mkasi Jinsi anavyozaa zaa kila kukicha na kumpelekea Mkewe aleee ? Hiyo ndio maana halisi ya Ndoa Mdau :A S 109:??? Refer Kapuya aliyoyafanya hiyo ndio maana halisi ya Ndoa ?? .......Wengine Malizia :closed_2:

Wamechagua kufanya zinaa? Wewe kama huoni umuhimu wa mtu mzima kuwa na ndoa na kuishi na familia na kuitunza basi utakua kichaa kama hao wazinzi waliotajwa na uliowataja
 
Acha kufanya kazi ya Mungu Mkuu , Hukumu tumuachie Mola Pekee ,
 
Back
Top Bottom