Kamili Gado
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 386
- 97
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata
Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!
Hivi Slaa kumbe nae ni mbunge? stress za kisiasa mbaya sana