Wabunge Maarufu ambao ni Mabachela na Mamachela'

Wabunge Maarufu ambao ni Mabachela na Mamachela'

Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata

Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!


Hivi Slaa kumbe nae ni mbunge? stress za kisiasa mbaya sana
 
kama huu uzi utakuwa umelipwa, basi mtakuwa mmeishiwa na hoja vijana wa lumumba. halafu hayo maisha ya mtu binafsi, jadili ishu za taifa kwa ujumla, au kama ubongo wako umejaa mamung'unya sitashangaa.

Kwani huwa wanalipwa kwa kujenga hoja au kwa kujadili/kuchafua watu?
 
anne makinda hayupo kwny hii list?
wapi esta bulaya?
 
Back
Top Bottom