Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Hivi mume wa jeni mhagama ni nani vile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slaa ana mke au ana mwanamke?
hawajawahi kuwaonyesha sehemu maalum ambazo wamealikwa kiheshima.
kuu mahaba yakizidi huwa yanapofua, huyu mleta post hii ni kipofu kwa mahaba aliyo nayo kwa ccm, vinginevyo angetafakari na kugundua kuwa hiyo hoja yake inawahusu hata wabunge wa vyama vingine hasa ccm iliyojaa akina kapuya.Umesema WABUNGE wasio oa wala kuolewa sasa hapo Dr Slaa kaingiaje?Dr Slaa ni mbunge wa Jimbo gani?
Aheri ya hawa Wabunge wasio oa wala kuolewa kuliko kadhia za picha za uchi za Mbunge Captain Komba na visichana vyake under ages
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata
Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!
..nashangaa mtoa uzi hakumuona SPIKA kwanza kabla ya wote, BIASSNES!!
matatizo yamesababishwa na nani kama cyo bavicha?
Ujinga siyo lazima uokote makopo. Kwani ukioa akili au uzalendo unaongezeka? Fuatilia historia ya Marekani iliyowahi kuongozwa na Marais wasiooa, linganisha maendeleo yake na nchi yetu iliyobahatika kuongozwa na Marais wenye wake zaidi ya mmoja na masuria wasio na hesabu!
Acha kudharirisha watu na Mahusiano yao Binafsi , :confused3:Maisha ni kuchagua ndio wamechagua hivyo tatizo liko wapi ?? Kuongoza ni karama hakuingiliani na kuoa/kuolewa ....By the way Ndoa nyingi za Viongozi ni za kisanii tu , refer Komba alitamka mwenyewe hadharani kwenye Mkasi Jinsi anavyozaa zaa kila kukicha na kumpelekea Mkewe aleee ? Hiyo ndio maana halisi ya Ndoa Mdau :A S 109:??? Refer Kapuya aliyoyafanya hiyo ndio maana halisi ya Ndoa ?? .......Wengine Malizia :closed_2:
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata
Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!
Non sense.... Kakojoe ukalale.....
Acha kudharirisha watu na Mahusiano yao Binafsi , :confused3:Maisha ni kuchagua ndio wamechagua hivyo tatizo liko wapi ?? Kuongoza ni karama hakuingiliani na kuoa/kuolewa ....By the way Ndoa nyingi za Viongozi ni za kisanii tu , refer Komba alitamka mwenyewe hadharani kwenye Mkasi Jinsi anavyozaa zaa kila kukicha na kumpelekea Mkewe aleee ? Hiyo ndio maana halisi ya Ndoa Mdau :A S 109:??? Refer Kapuya aliyoyafanya hiyo ndio maana halisi ya Ndoa ?? .......Wengine Malizia :closed_2:
mdee alikuwa aolewe na nassari ila naona walitosana baadae
Wamechagua kufanya zinaa? Wewe kama huoni umuhimu wa mtu mzima kuwa na ndoa na kuishi na familia na kuitunza basi utakua kichaa kama hao wazinzi waliotajwa na uliowataja
Mbona vicky kamata cjamuona