Kamili Gado
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 386
- 97
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata
Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!
kama huu uzi utakuwa umelipwa, basi mtakuwa mmeishiwa na hoja vijana wa lumumba. halafu hayo maisha ya mtu binafsi, jadili ishu za taifa kwa ujumla, au kama ubongo wako umejaa mamung'unya sitashangaa.
huyuanatia fora aiseeanne makinda hayupo kwny hii list?
wapi esta bulaya?
mbona katajwa .........au macho yanachongo?
Kodi za wananchi zimetumika vibaya sana