Wabunge Maarufu ambao ni Mabachela na Mamachela'

Wabunge Maarufu ambao ni Mabachela na Mamachela'

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata

Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, hawa vijana bhana! Hata Nasari anawashinda!
 
Duh!..hii ni nini sasa, uvccm ni viumbe wa ajabu sana. Nchi hii ina matatizo lukuki lakini cha ajabu hawa uvccm wamekalia kuongelea juu ya watu binafsi na kutengeneza mazengwe ambayo hayana tija kwa taifa hili. Mbona hamjishughulishi na ahadi zenu kuboresha maisha ya watanzania?
 
Umesema WABUNGE wasio oa wala kuolewa sasa hapo Dr Slaa kaingiaje?Dr Slaa ni mbunge wa Jimbo gani?

Aheri ya hawa Wabunge wasio oa wala kuolewa kuliko kadhia za picha za uchi za Mbunge Captain Komba na visichana vyake under ages
 
alikua mbunge wa kara2
 
Zamani sifa ya uongozi wakati wa nyerere kulikuwa na kipengele kuwa kiongozi awe ni mtu aliyetosheka. Haikuwa na maana ya utajiri, unakuwa na kiongozi ambaye hana hata familia ni rahisi kuwakimbia!
 
Wewe lazima utoto unakusumbua ukikua utaacha.
 
Dr. Slaa sio Mbunge! Kama alikuwa mbunge unamtafuta ubaya wa nini wakati huu? Kwa hiyo hakuna wengine ni hao tu? Tena chama kimoja tu? Mleta mada embu tulia ulete mada zenye mshiko sio huu uzi usiokuwa na kichwa wala mkia.
 
Ni hali ya ajabu kuangalia personal issues wakaati nchi hii ina matatizo kibao...
 
Back
Top Bottom