Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

Nadhani kuna kuchafuana kiaina maana hadi sasa hakuna connections
 
Umeuliza jambo la maana sana lakini binafsi sitatoa jibu la moja kwa moja ila tunatakiwa tutafakari kwa pamoja.

Umetumia neno "faragha" au kwa kiingereza "privacy" na hapa ndipo msingi wa majadiliano yangu...
Pamoja na yote uliyosema swali langu ni kwa nini upige picha? Umekosa kazi hapo chumbani?
 
Huo sio umalaya bhana, Sasa kama Babu alikuwa hamkazi ulitegemea afanyaje?

Huko ni kujiongeza tu.
 
Umeiona mzee
Ntupie na mimi basi

Ova
Mkuu na wewe pia unataka kusombwa na huu upepo wa kiboya?Usiniangushe boss...hakuna kitu kama hicho.Ni watu wameamua kutengeneza theory ili kumchafua Esta.Kila anayesema ameiona ni muongo

Inasikitisha kuona watu wanafikiria,wanapanga na kutekeleza mkakati wa uzushi ili kumshusha na kumuaibisha mwingine.Inasikitisha zaidi kama jambo hilo linafanywa na taasisi iliyoacha malengo yaliyoitambulisha na kuipa credibility mbele ya jamii na kujishusha levo ya chini kiasi hicho!!

Hakuna tena hoja chadema.Hakuna masuala.Kuna viroja na matukio
 
Napenda tujielimishe; Mbunge anaweza chukuliwa hatua ikithibitika amerekodi au kurekodiwa akiwa anafanya mapenzi?
Atapelekewa mahakamani kwa kukikuka sheria ya habari ya kielkroniki,na Sheria ya mtandao,Kama akipatikana na hatia na kufungwa zaidi ya miezi sita,ubunge wake utapotea,kinyume na hapo huyo tunae mpaka afe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…