Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Una hamaki nini kma ni cheap politicsNimeona hii mada kule twitani...kifupi naona ka vile ni cheap politics dhidi ya wanawake waliounga mkono bungeni...natoa wito kama ni kweli wekeni ushaidi tuone other wise acheni siasa za kizushi..Chama kilishawafuta uanachama tuwaache waendelee na maisha yao please!