Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

Kuna wabunge ambao wamewatengenezea video ya ngono sasa wanataka kuwalipua!!!! Hizi video za kuumba kama hatutakuwa makini watu wengi wataumizwa!!! Kwenye jamii ambayo haijaelimika na hivyo kuamini kila kitu kiwekwacho kwenye mitandao bila kuchunguzwa hii italeta hatari sana.
Za kutengeneza zinatambulika
 
Duuu hataree kweli kweli, aliyesema ma 'she' wa kikurya ni wategezi na wanalalaga kitandani kama magogo alitudanganya sana, esta anajua kuyakata kweli kweli…….
 
Hiyo kideo ya Matiko na Aeshi Hilary mtumieni Mh. Ndugayi!
 
Hakuna kitu kama hicho. Kama unanibishia hebu tuma pm ili uniprove wrong
 
Nimeona hii mada kule twitani...kifupi naona ka vile ni cheap politics dhidi ya wanawake waliounga mkono bungeni...natoa wito kama ni kweli wekeni ushaidi tuone other wise acheni siasa za kizushi..Chama kilishawafuta uanachama tuwaache waendelee na maisha yao please!
Naunga mkono hoja
 
Tunaomba Ka video hako karushwe kwa maslahi mapana ya UMMA- Public Interest ili kulinda maadili ya Jamii-Public Morality bila kujali cheo au nafasi ya Mtu;

Mtu yeyote anayejaribu kupingana na maadili ya watanzania anakuwa public enemy na ni wajibu kumpinga kwa gharama yeyote
 
Back
Top Bottom