Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

Nimeona hii mada kule twitani...kifupi naona ka vile ni cheap politics dhidi ya wanawake waliounga mkono bungeni...natoa wito kama ni kweli wekeni ushaidi tuone other wise acheni siasa za kizushi..Chama kilishawafuta uanachama tuwaache waendelee na maisha yao please!
Una hamaki nini kma ni cheap politics
 
Una hamaki nini kma ni cheap politics

Sijahamaki mzee....mlisema mnayo ya mdee hamkutoa leo mmekuja na lingine...hata kama wamezingua sio poa kuwachafua imagine ingekuwa dadako au mamako ungejisikiaje? Tuache siasa za kuchafuana.
 
Duuu hataree kweli kweli, aliyesema ma 'she' wa kikurya ni wategezi na wanalalaga kitandani kama magogo alitudanganya sana, esta anajua kuyakata kweli kweli…….
Nitumie mkuu please [emoji4]
 
Dah. Sijui ndio "raha" ya kutazama porn au ndio siasa zetu zimefika LOW kiasi hiki! Pamoja na kutofurahishwa na harakati za COVID 19, sikutarajia kuona wengi wakifurahia habari ya aina hii. I feel embarrassed. (aibu naona mimi)...
Chadema wanahusika vipi kwenye hilo?

Wote wanaoshadadia hiyo video una uhakika ni wanachadema au na wewe ugwadu unakusumbua?
 
Sijahamaki mzee....mlisema mnayo ya mdee hamkutoa leo mmekuja na lingine...hata kama wamezingua sio poa kuwachafua imagine ingekuwa dadako au mamako ungejisikiaje? Tuache siasa za kuchafuana.
Tulisema mimi na nani?

Kuna comment kama yako, mtu unasoma unaona kabisa mtu hajacum ana miaka mitatu
 
Dah. Sijui ndio "raha" ya kutazama porn au ndio siasa zetu zimefika LOW kiasi hiki! Pamoja na kutofurahishwa na harakati za COVID 19, sikutarajia kuona wengi wakifurahia habari ya aina hii. I feel embarrassed. (aibu naona mimi)...
Hapo CHADEMA inatokea wapi kwenye issue isiyo wahusu hata kidogo?
 
Tulisema mimi na nani ?

Kuna comment kama yako, mtu unasoma unaona kabisa mtu hajacum ana miaka mitatu

Kucum kunaingiaje hapa mzee baba...tuseme tu hao madada walizingua walichokifanya sio !? Je kuwachafua kunabadilisha vp kilichotokea? Nasema mlisema coz chanzo cha hizi makitu kimetoka kwa watu wenye mlengo sawa na sisi tunaoshabikia hapa jukwaani...kutofautiana kiitikadi sio lazima tujenge uadui na kuchafuana..Chama kilishafanya yake na sisi waanchama tumove on na maisha tuwaache wapambane na hali zao.
 
Chadema wanahusika vipi kwenye hilo?
Wote wanaoshadadia hiyo video una uhakika ni wanachadema au na wewe ugwadu unakusumbua ?
Tuheshimiane. Unaweza kunijibu kawaida tu. Sijasema CHADEMA ndio walioleta hii kitu. Lakini hapa JF mashabiki wa chama hicho wanaonekana kuifurahia sana hiyo habari inayomuumbua mmoja wa COVID 19. NINATAHADHARISHA tu chama kutochangamkia hii habari. Period. Ni maoni yangu binafsi.
 
Hapo cdm inatokea wapi kwenye issue isiyo wahusu hata kidogo?
You're very right CHADEMA haihusiki kabisa na habari hii. Lakini anayeongelewa ni mmoja wa COVID 19 ambaye anaonekana "kuumbuka". NA wanaoonekana kuichangamkia habari yenyewe ni "mashabiki"wa CHADEMA.

Nimetoa TAHADHARI tu kwa chama (CHADEMA) kukaa mbali na kushabikia habari hii hata kama ni ya kweli ili kutohusishwa na siasa za majitaka. Suala la kuheshimu faragha za watu alilozungumzia Lissu linatakiwa kujitokeza vizuri sana hapa.
 
Yani vile nimepambana kuipata hii kitu!hakika maisha ni connection
 
Back
Top Bottom