Pre GE2025 Wabunge mliopata ubunge kwa nguvu ya Hayati Magufuli tafuteni kazi nyingine mapema

Pre GE2025 Wabunge mliopata ubunge kwa nguvu ya Hayati Magufuli tafuteni kazi nyingine mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
we fanya mambo yako atakayeshindwa inamhusu yeye pekee hakuna haja ya kupoteza muda wako eti kuwashauri. Hata wewe waweza kugombea ni haki ya kikatiba
 
Mwakani wanatoka na kiinua mgongo cha 250m/=! Kwa nchi hii kinatosha kuhonga wapiga kura! Kofia,ubwabwa,khanga,pombe,kulipia karo kwa baadhi ya watoto wa wapiga kura,ahadi za uongo!
Usishangae robo tatu yao wakirudi mjengoni.
Ambao hawatarudi ni wale ambao wamaekataa kuwa chawa wa Mama.
 
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
Hii ni mbiu ya vita.
Mbiu ya vita ikisikika ni lazima uwe teyari kupigana.

Muwe tayari.
 
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
Bora umewaambia maana wengi wao ni wap..umba.vu sana na hawana shukurani. Yaani Hayati JPM alivyowaingiza kwa nguvu bungeni lakini bado asilimia zaidi ya 98% ndo wanaongoza kwa kumpondea!
 
inaweza kua kwa wabunge wengineo lakini sio kwa uliowataja....

for ur informations,
uliowataja watarejea mjengoni bila tashwishwi yoyote na kwa uhakika zaid kuliko mbunge mwingine yeyote,

unless utumie chuki binafsi kuonyesha mapungufu yao mtandaoni ambayo pia hayatadhoofisha wa kufifisha nguvu za kisiasa walizonazo kutokana na kazi kubwa walizofanya majimboni mwao kwa wanainchi wanao wawakilisha....

ni kuhakikishie tu,
majimboni mwao, hawa waungwana ni miongoni mwa very influencial and very powerful politicians dhidi ya yeyote yule atakaejitokeza kuwapa changamoto kwenye uchaguzi wowote ujao, na ni vigumu mno kuwashinda 🐒
Acha uongo we jamaa mtu kama taletale mwepesi kama sufi huku jimboni Hana influence yoyote na inaonekana huja ujualo kwenye majimbo ya hawa mabwana
 
tatizo la babutale wananchi wake wengi ni wa vijijini hawana elimu, na maisha ya chini ataitumia hiyo kama kete,
Wananchi wa Jimbo la Morogoro kusini mashariki ingawa wako vijijini lakini wanajitambua, hawana tabia ya kulea ujinga.
Ndiyo maana kila uchaguzi wanabadirisha mbunge.
Wapiga kura wa Jimbo hilo usiwalinganishe na Morogoro mjini
 
nakuhakikishia tu muungwana kwamba, kura za maoni CCM zikiisha ndio uchaguzi mkuu umekwisha huo..

mengine baada ya hapo ni kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa sheria, kanuni na katiba ya nchi 🐒
Hilo liko wazi, lakini hilo hasa liko kwenye mikoa ambayo upinzani hauna nguvu, kama vile Dodoma, Rukwa, Ruvuma, Pwani nk
Lakini baadhi ya mikoa CCM ikiweka mtu asiyekubalika anaangushwa tu.
 
Acha uongo we jamaa mtu kama taletale mwepesi kama sufi huku jimboni Hana influence yoyote na inaonekana huja ujualo kwenye majimbo ya hawa mabwana
maybe unarefer mtu mwingine ila si mim....

na sina haja kumdanganya mtu mnyonge, mwenye ghadhabu au gubu dhidi ya kiongozi fulani katika siasa 🐒

na by the way politically speaking,
I can digest, dissect, execute and tell you with detailed informations, kwamba nani hatagombea tena awamu ijayo na kwanini, lakini pia nani akigombea but atakua replaced kwenye mchujo na kwasabb zipi, lakini pia nani anauhakika wa kurejea mjengoni na kwasabb gan na, kwa ujumla matokeo yatakuaje kulingana na mwenendo wa hali ya kisiasa ilivyo nchini 🐒

sina hakika kama nitaeleweka 🤓
 
kama yatatokea mabadiliko ya wabunge bas,

CCM parliamentary seats candidates will be replaced by other powerful CCM members and not otherwise....

this one I must put it very clear 🐒
Kwahiyo wale waliokwisha tumika mnawatupia jalala gani🤣
 
Huyo mwana FA kwa namna anavopambana kuhakikisha anarudi, kazi ipo ! Mixer na uchawa kwa mama🤣🤣🤣namuona FA akirudi bungeni muhula wa pili
Fa ana asilimia 60 za kurudi..ana jitahidi sana kutokuwakwaza kuongea pumba Na kujifanya mjuaji
 
inaweza kua kwa wabunge wengineo lakini sio kwa uliowataja....

for ur informations,
uliowataja watarejea mjengoni bila tashwishwi yoyote na kwa uhakika zaid kuliko mbunge mwingine yeyote,

unless utumie chuki binafsi kuonyesha mapungufu yao mtandaoni ambayo pia hayatadhoofisha wa kufifisha nguvu za kisiasa walizonazo kutokana na kazi kubwa walizofanya majimboni mwao kwa wanainchi wanao wawakilisha....

ni kuhakikishie tu,
majimboni mwao, hawa waungwana ni miongoni mwa very influencial and very powerful politicians dhidi ya yeyote yule atakaejitokeza kuwapa changamoto kwenye uchaguzi wowote ujao, na ni vigumu mno kuwashinda 🐒
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ukhanithi kwenye box la kura.
 
Daah!,mna kiburi na dharau sn watoto wa dk chura
ukweli usemwe,
upinzani utakuwepo kwenye kura za maoni ndani ya CCM pekee, njee ya hapo CCM itashindana na nani sasa au chama gani, halafu ishindwe?🐒

kua muungwana tu kamanda🐒
 
Back
Top Bottom