Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sawakama yatatokea mabadiliko ya wabunge bas,
CCM parliamentary seats candidates will be replaced by other powerful CCM members and not otherwise....
this one I must put it very clear 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawakama yatatokea mabadiliko ya wabunge bas,
CCM parliamentary seats candidates will be replaced by other powerful CCM members and not otherwise....
this one I must put it very clear 🐒
we fanya mambo yako atakayeshindwa inamhusu yeye pekee hakuna haja ya kupoteza muda wako eti kuwashauri. Hata wewe waweza kugombea ni haki ya kikatibaMwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
Hii ni mbiu ya vita.Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
Bora umewaambia maana wengi wao ni wap..umba.vu sana na hawana shukurani. Yaani Hayati JPM alivyowaingiza kwa nguvu bungeni lakini bado asilimia zaidi ya 98% ndo wanaongoza kwa kumpondea!Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
Acha uongo we jamaa mtu kama taletale mwepesi kama sufi huku jimboni Hana influence yoyote na inaonekana huja ujualo kwenye majimbo ya hawa mabwanainaweza kua kwa wabunge wengineo lakini sio kwa uliowataja....
for ur informations,
uliowataja watarejea mjengoni bila tashwishwi yoyote na kwa uhakika zaid kuliko mbunge mwingine yeyote,
unless utumie chuki binafsi kuonyesha mapungufu yao mtandaoni ambayo pia hayatadhoofisha wa kufifisha nguvu za kisiasa walizonazo kutokana na kazi kubwa walizofanya majimboni mwao kwa wanainchi wanao wawakilisha....
ni kuhakikishie tu,
majimboni mwao, hawa waungwana ni miongoni mwa very influencial and very powerful politicians dhidi ya yeyote yule atakaejitokeza kuwapa changamoto kwenye uchaguzi wowote ujao, na ni vigumu mno kuwashinda 🐒
Wananchi wa Jimbo la Morogoro kusini mashariki ingawa wako vijijini lakini wanajitambua, hawana tabia ya kulea ujinga.tatizo la babutale wananchi wake wengi ni wa vijijini hawana elimu, na maisha ya chini ataitumia hiyo kama kete,
Hilo liko wazi, lakini hilo hasa liko kwenye mikoa ambayo upinzani hauna nguvu, kama vile Dodoma, Rukwa, Ruvuma, Pwani nknakuhakikishia tu muungwana kwamba, kura za maoni CCM zikiisha ndio uchaguzi mkuu umekwisha huo..
mengine baada ya hapo ni kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa sheria, kanuni na katiba ya nchi 🐒
maybe unarefer mtu mwingine ila si mim....Acha uongo we jamaa mtu kama taletale mwepesi kama sufi huku jimboni Hana influence yoyote na inaonekana huja ujualo kwenye majimbo ya hawa mabwana
Kwahiyo wale waliokwisha tumika mnawatupia jalala gani🤣kama yatatokea mabadiliko ya wabunge bas,
CCM parliamentary seats candidates will be replaced by other powerful CCM members and not otherwise....
this one I must put it very clear 🐒
watabaki kujenga na kuimarisha chama na serikali kwa namna nyingine 🐒Kwahiyo wale waliokwisha tumika mnawatupia jalala gani🤣
Hiyo sera iwe ndio mwisho wa matumizi ya sera haramu zinazohalalishwa kiharamu🤔watabaki kujenga na kuimarisha chama na serikali kwa namna nyingine 🐒
Huyo mwana FA kwa namna anavopambana kuhakikisha anarudi, kazi ipo ! Mixer na uchawa kwa mama🤣🤣🤣namuona FA akirudi bungeni muhula wa pili😂😂😂😂 babutale,mwanafa, nk
Fa ana asilimia 60 za kurudi..ana jitahidi sana kutokuwakwaza kuongea pumba Na kujifanya mjuajiHuyo mwana FA kwa namna anavopambana kuhakikisha anarudi, kazi ipo ! Mixer na uchawa kwa mama🤣🤣🤣namuona FA akirudi bungeni muhula wa pili
Daah!,mna kiburi na dharau sn watoto wa dk churanakuhakikishia tu muungwana kwamba, kura za maoni CCM zikiisha ndio uchaguzi mkuu umekwisha huo..
mengine baada ya hapo ni kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa sheria, kanuni na katiba ya nchi 🐒
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ukhanithi kwenye box la kura.inaweza kua kwa wabunge wengineo lakini sio kwa uliowataja....
for ur informations,
uliowataja watarejea mjengoni bila tashwishwi yoyote na kwa uhakika zaid kuliko mbunge mwingine yeyote,
unless utumie chuki binafsi kuonyesha mapungufu yao mtandaoni ambayo pia hayatadhoofisha wa kufifisha nguvu za kisiasa walizonazo kutokana na kazi kubwa walizofanya majimboni mwao kwa wanainchi wanao wawakilisha....
ni kuhakikishie tu,
majimboni mwao, hawa waungwana ni miongoni mwa very influencial and very powerful politicians dhidi ya yeyote yule atakaejitokeza kuwapa changamoto kwenye uchaguzi wowote ujao, na ni vigumu mno kuwashinda 🐒
ukweli usemwe,Daah!,mna kiburi na dharau sn watoto wa dk chura
kwenye ule wa Chadema majuzi ulikua wanja wa malalamiko na kumwaga mipesa right 🐒Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ukhanithi kwenye box la kura.