jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
#Kaziiendelee
Kuna viingozi wa kisiasa ambao mara nyingi huwatuhumu na kuwashtaki wakurugenzi na Wakuu wa Idara mara kwa mara.
Wanaweza wakawa na hoja lakini pia wanaweza wakawa ni sehemu ya tatizo kwa maana ya kuwachongea wakuu wa Idara ili wapate urahisi wa kufanya mambo yao kwa interest binafsi.
Wanasiasa hawa ni vyema wakachunguzwa kwa kina.
Hebu tutaje orodha ya wanasiasa ,wabunge ambao mara nyingi huwachongea wakurugenzi na wakuu wa Idara.