Wabunge na watumishi wa umma isikieni sauti iliayo nyikani

Wabunge na watumishi wa umma isikieni sauti iliayo nyikani

Very comical!Hivi hao wabunge wa CCM walichaguliwa na nani?Walipatikanaje?Ndiyo wakaongee na wananchi ambao hawawajui?The laughter of a lifetime!😝😝😝😝😝😝
Mkuu wabunge hawa walichaguliwa na wananchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 na wana wajibu wa kuwatumikia wananchi na sio vinginevyo.
 
Nakala zinabakia kwa wabunge?
CHADEMA wasikilize zile rufaa ili tujue mbivu na mbichi.
Rufaa zao majibu anayo magu.Chadema hawakuidhinisha hao covid 19.
Mungu aweza kuwasikiliza kama walionewa,shahidi yupo na malaika
 
Rufaa zao majibu anayo magu.Chadema hawakuidhinisha hao covid 19.
Mungu aweza kuwasikiliza kama walionewa,shahidi yupo na malaika
Majibu ya rufaa zao yatatolewa na Baraza Kuu la CHADEMA na Mbowe aliahidi wazi kuwa watawasikiliza ila wanafanya uchaguzi wa BAWACHA na kuacha kuwasikiliza.
 
Hakuna anayeona aibu ila kuna baadhi ya wabunge inaonekana bado hawajarejea majimboni. Wanaagizwa kurejea majimboni.
Hadi unaagizwa kurudi jimboni means you were not ready for that job!Unakumbushwaje kuvaa chupi wakati umevaa suruali chukuchuku?
 
Hadi unaagizwa kurudi jimboni means you were not ready for that job!Unakumbushwaje kuvaa chupi wakati umevaa suruali chukuchuku?
Hahahahahahahaha Mkuu, yawezekana walikuwa wanakutana na wawekezaji au kuna masuala binafsi walikuwa wanarekebisha.
Kwa sababu wamekumbushwa hatutarajii kuwaona wakibakia tena bali wataelekea majimboni.
 
Mwendazake aliwasukimiza kuwa wabunge.😝😝😝😝
 
Kwa zile vurugu utasema wananchi walichagua?
Hao walichaguliwa na mtu mmoja.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tusiandikie mate wino ungalipo.
Eleza kwa uwazi wapi uchaguzi ulikuwa na vurugu. Kwa sababu wagombea wote walipiga kura na kuhojiwa na vyombo vya habari.
Kwa mfano Sugu alisema wazi baada ya kupiga kura kuwa mambo yapo shwari na atashinda.
Tundu Lissu alisema hali ni tulivu na mambo yote yapo barabara.
Vivyo hivyo kwa wengine.
 
Back
Top Bottom