Wabunge na watumishi wa umma isikieni sauti iliayo nyikani

Interview zao niliziona. Na ujinga uliofanywa na tume pia niliuona.
Sina cha kuhadithiwa kwani kila kitu niliona. Hakuna aliye na uhakika hata mmoja kama kweli alichaguliwa na wananchi bali wote wana uhakika kuwa jiwe aliwachagua.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Waliokutangulia Wameyasema sana mkuu hii Nchi CCM IMEROGWA haitapata Maendeleo kamwe
 
Uhakika huo ni dhahania hasi ambayo imejengeka. Kama ambavyo mashabiki wa Simba wanahisi Mzee Mpili ndiye aliyekamilisha ushindi wa Yanga dhidi yao.
 
Waliokutangulia Wameyasema sana mkuu hii Nchi CCM IMEROGWA haitapata Maendeleo kamwe
Mkuu maendeleo yapo ila kasi inabidi iongezeke kwa kila mmoja; viongozi na wananchi kujua wajibu wetu na kuutekeleza bila kushuritishwa.
 
Uhakika huo ni dhahania hasi ambayo imejengeka. Kama ambavyo mashabiki wa Simba wanahisi Mzee Mpili ndiye aliyekamilisha ushindi wa Yanga dhidi yao.
Ilikuwa wazi mno. Vituko vya tume vilikuwa wazi kabisa. Ilisikitisha sana viongozi kudharau wananchi wake kiasi kile. Ile dharau Mungu atawalipa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…