passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Kichwa cha habari na stori nzima imetafsiriwa sivyo.Kama ni kweli wapo vizuri, hatulingani nao na wala hatutalingana nao kwenye level ya demokrasia
Na wapo watu unawaona kikasuku wanakubaliana tu kana kwamba ameshapigiwa kura ya kuondolewa Urais.Eti impeachment imefanyika bila resolution wala bila taarifa kujulikana kabla. Bunge la Marekani halifanyi kazi kienyeji, haliogopi mtu. Utaratibu unachukua wiki kadhaa watu wanafanya kwa uhuru, ushahidi unatolewa, hapo unakuta directors wa idara kadhaa wanaapishwq kutoa ushahidi. Hapo wangeitwa wahusika wa kupambana na madawa au polisi, wakaitwa watu wa kodi na labda FBI.
Sio kienyeji na ghafla hivi
Kuna watu wapo kazini na Upotoshaji.... Wewe wa note tu. Utajua jinsi ya kukabiliana nao mbeleni.Kichwa cha habari na stori nzima imetafsiriwa sivyo.
Soma hiyo stori mkuu uone alichoandika hapa mtoa mada.
Mkuu,Kuna watu wapo kazini na Upotoshaji.... Wewe wa note tu. Utajua jinsi ya kukabiliana nao mbeleni.
Unaijua sera ya republicans kuhusu mgogoro husika ambao ndo majority kwenye senate?Biden aondoke tu ili vifo vya watoto na wanawake wasio na hatia vipungue Gaza.
Mie sijawahi kutokua na akili inategemes umesoma mawazo yangu ukiwa wapKumbe kuna wakati una akili...hii ni kweli, hatakuwepo rais atakayekwenda kinyume na Israel...isipokuwa mwishoni kabisa kwa mujibu wa unabii kuwa Marekani atakuja kuigeuka Israel na kuitandika sana, hizo nyakati bado sana
Yawezekana lugha ikawa ngumu. Lakini kwa huyu, hapana, lugha anaijua, ni mpotoshaji tu.Mkuu,
Nahisi pia lugha ni ngumu nimeshangaa kichwa cha habari na stori iliyoandikwa Fox. Lugha tatizo pia mkuu.
Kumbe nawe ni ngumbaluAondolewe tu, haraka sana tena kwa aibu kubwa.
sasa imewezekanaje apate fursa za kupiga madili ya Rushwa wakati mifumo yao ni ya uwazi na haki?Kama ni kweli wapo vizuri, hatulingani nao na wala hatutalingana nao kwenye level ya demokrasia
Umeelewa kilichoandikwa au Kiinglishi kinakuchanganya? Wameandika hivi, wabunge wote wa Republican (wapinzani) 221 wamepiga kura kumu impeachment na wabunge wote wa Democrat (watawala) 212 wamepiga kura kupinga impeachment. Tofauti yake na Tanzania ni ipi? Sio Kila kitu kusifia tu!Kama ni kweli wapo vizuri, hatulingani nao na wala hatutalingana nao kwenye level ya demokrasia
Hakuna kilichothibitishwa.sasa imewezekanaje apate fursa za kupiga madili ya Rushwa wakati mifumo yao ni ya uwazi na haki?
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app