Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Tuungane kukataa dhulma wanayotufanyia.Tuanze na kupunguza mishahara yao iwe nusu, kisha tuwaambie walipe kodi na PSSSF, na wakimaliza muda wao wasubirie miaka miwili kupewa kiinua mgongo....
Sio rushwa tu (ya ngono na pesa) mpaka kuuana au kutoa kafara ndugu ili mtu apate Ubunge its a shame.Umesema cha maana sana hakika wabunge ni miongoni mwa wanyonyaji wakubwa. Isitoshe viti maaluum havina ulazima wala haisaidii kitu vifutwe. Tumejenga tabaka la watu fulani kazi yao kuzungukia nafasi hizo kwa njia ya kutoa rushwa.
CCM?! Unasahau akina mdee, akina bulayo, akina kitila, lijua likali, etc.Adui mkubwa ni Ccm hakuna kingine. Bila ccm labda leo hii kama nchi tungefika mbali sana.
Nakuunga mkono. Wabunge ndio maadui zetu.Tuanze na kupunguza mishahara yao iwe nusu, kisha tuwaambie walipe kodi na PSSSF, na wakimaliza muda wao wasubirie miaka miwili kupewa kiinua mgongo.
Wasiruhusiwe kukopa kutoka mifuko ya PENSION.
Yangu mimi ni hayo tu.
Everyday is Saturday............................... 😎
Acha kuvunja wenzako moyo.Kila mtu anajua haya tayari na hamna kilichobadilika.
Hata wa kipindi cha nyuma. Muda umefika tuwanyang'anye masilahi yanayowapa kiburi.Wabunge wa bunge la sasa karibia wote ni wahujumu uchumi.
Hii attachment yako hata haikubali kufunguka. Hebu itume ila usiitume kama attachment. Tuma link au file....Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani.
Tunapaswa pia tufahamu wanaopigana wakiwa upande wetu bega kwa bega ni akina nani. Wanaweza kuwepo watu wa namna hiyo lakini si Wabunge.
Sikiliza haya yanayohusi Wabunge. Halafu tupaze sauti zetu kuwataka waache kutunyonya. Waache kuumiza Watanzania Maskini.
View attachment 1817808