Wabunge ndio maadui Wakwanza wa Maendeleo yetu na wanatunyonya

Hata wa kipindi cha nyuma..... Muda umefika tuwanyang'anye masilahi yanayowapa kiburi.....

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mob

Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani.

Tunapaswa pia tufahamu wanaopigana wakiwa upande wetu bega kwa bega ni akina nani. Wanaweza kuwepo watu wa namna hiyo lakini si Wabunge.

Sikiliza haya yanayohusi Wabunge. Halafu tupaze sauti zetu kuwataka waache kutunyonya. Waache kuumiza Watanzania Maskini.

View attachment 1817808
Unachosema Chizi Maarifa ni kweli tupu. Mimi nimeliandikia mara kadhaa hapa JF. Sio suala la nani anapigana akiwa upande gani, BUNGE ni mfano hai wa UFISADI si kwa mujibu wa kamusi ya CCM, bali katika maana halisi ya dhana ya UFISADI (yaani KLEPTOCRACY) - wizi wa mali ya umma uliohalalishwa na watawala. Ukizingatia dimbwi la umasikini lililoigubika jamii ya KiTz, jamii ya wanaowaita 'wapiga kura' wao na hayo malipo wanayolipwa, unajiuliza bila kupata jibu binadamu aliyekuja na formula wanayotumia kulipana! Lakini jibu limejikita katika ufisadi - ninafikiri haya malipo yaliwekwa katika awamu ya 3. Ni katika BUNGE ambako watawala wanapata fursa ya kuwapenyezea wanafamilia (watoto, wake, waume, wapwa, wajukuu, nyumba ndogo, michepuko, nk) na wale wengine wanaotaka wawatumie kutimiza matakwa yao. Lisingekuwa limeandaliwa kuwa kitega uchumi cha familia teule, kwa mfano, former first lady asingehangaika kwenda kushinda mjengoni na kupiga meza akisaidiana na mwana wake, na pengine mjukuu anaandaliwa, nk.
 
Sisi Watanzania ndio watu wajinga sana tumekubaliana na yote hayo mie nikipita mikoani na wilayani jinsi ninavyoona watu walivyo maskini na kutumia maji ya madimbwi huwa nawafikiria sana wanasiasa wetu. NI WABINAFSI MNOO
 
Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani.

Tunapaswa pia tufahamu wanaopigana wakiwa upande wetu bega kwa bega ni akina nani. Wanaweza kuwepo watu wa namna hiyo lakini si Wabunge.

Sikiliza haya yanayohusi Wabunge. Halafu tupaze sauti zetu kuwataka waache kutunyonya. Waache kuumiza Watanzania Maskini.

1623652941969.png

Mijizi iliyotukuka turejee kwenye rasimu ya Jaji Warioba, mishahara yao ipangwe na wananchi na siyo wao
 
Ni kweli kwamba Wabunge wetu ni WANYONYAJI wakubwa. Ni KUPE. Marupurupu wanajipangia wenyewe. CONFLICT OF INTEREST!

Talk is cheap. UZALENDO, UZALENDO kumbe ni WIZI, WIZI na uporaji wa mali ya uma.

Kwa vile hakuna upinzani, watajichotea watakavyo. Kwa katiba iliyopo ni mtindo wa kunyonywa bila huruma, na huku wakifunika kombe kwa kutaja sana neno UZALENDO.

Waheshimiwa hawa ni MABWANYENYE yaliyokubuhu.
Ifike wakati sasa tuamke, mishahara yao ipangwe na wananchi na siyo wao, na mishahara hiyo isitofautiane na watumishi wa umma kwakuwa sote tunajenga nyumba moja iweje wengine wawanyonye wengine kwa kisingizio cha kutuwakilisha kwa nini kama ndivyo tusitumie teknolojia kama njia mbadala wa kuifikishia serikali shida zetu badala ya kuwatuma wao kwenda kujineemesha na fedha zetu ambazo zingetuletea maenedeleo
 
Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani.

Tunapaswa pia tufahamu wanaopigana wakiwa upande wetu bega kwa bega ni akina nani. Wanaweza kuwepo watu wa namna hiyo lakini si Wabunge.

Sikiliza haya yanayohusi Wabunge. Halafu tupaze sauti zetu kuwataka waache kutunyonya. Waache kuumiza Watanzania Maskini.

Tuanzishe hii movement hadi tukawavurumushe hukohuko bungeni...
#MbungeLipakodi
#WabungeSiwazalendo
#WabungeWalipwemishaharaSawanaWalimu

Ifike wakati hizi benefits zote ziondolewe kwa wabunge.

1. Kila mbunge alipwe mshahara usiozidi 1,500,000 na ukatiwe Kofi

2. Kila mbunge alipwe posho sawa na watumishi wengine

3. Wakatwe Bima kupitia mishahara yao

4. Mafao yao yakokotolewe kwa kuzingatia kiwango cha mshahara wake na muda aliokaa bungeni

NB: Ikiwa hivi, kazi ya ubunge itafanywa na watu wazalendo kweli, wenye moyo wa kutumikia wananchi na siyo wafuata fedha tu...
 
Wabunge wanyonyaji,wezi na mafisadi wakubwa.
 
Tunaambiwa kwamba watanzania tuwafichue wote wanaojipatia fedha za umma isivyo stahili. Mbona tumewafichua wale Covid-19 lakini hatua hazichukuliwi?
 
ndio sababu watu wanalogana nakuhonga mahela waende bungeni kumbe wanajua wanajilipa sio mchezo bado hawaridhiki
kweli naunga hoja hawa jamaa niadui wetu wakubwa tunatakiwa tuwapinge.
wakwanza ndugai hela zote hzo bado anamsemea na mke wake alipwe vzur kwel wenye nacho wataongeza na mkono mtupu haulambwi.
tunashadadia vijana wajiajiri bila mitaji wakati wao wakimaliza miaka mitano wakajiajir sio kwa hela hzo.
 
Unakuta mbunge anajisifia kusema watu wangu. Huku hao watu wakiteseka, fukara. Shule majengo shida, huduma za afya tabu. Mtu mmoja analipwa mamilioni.
Hakuna haki. Wabunge wenyewe majimboni hawaonekani. Wakienda Bungeni maswali ni yale yale toka nazaliwa hakuna linalo badilika. Utasikia korosho, Pamba, ufugaji, madini, elimu. Hivi haya yote hayajapata ufumbuzi toka wakati wa Nyerere hadi Leo! Miaka 60 tunaongelea jambo lile lile!
Ulaya ya miaka ya hamsini na tisini ilikuwa masikini si kama ya Leo. China, Malyasia, India, Korea na nyinginezo walikuwa masikini.
Je sisi watanzania tumelaniwa nini? Nyerere alitupatia viwanda leo vyote hakuna.
Shida ni nini? Nilibahatika kufanya kazi serikalini, nilipo ingia nilishangaa mengi. Hapo nikajua Tanzania kwendelea ni kazi. Tutapiga mark time.
Tunahitaji kubadili mfumo wa kiutumishi. Tunahitaji kubadili matumizi ya fedha na mshahara. Tunahitaji kubadili mfumo wa utekelezaji wa miradi.
Pia kubadili mfumo wa Bunge. Na kuwa na wabunge wachache. Kufuta viti maalum. Na wabunge wawajibishwe mara wanapokuwa si wawajibikaji.
Hivyo tunahitaji muundo mpya wa serikali. Hata baraza la mawaziri hatuhitaji utitiri wa mawaziri.

Kuna mtaalamu wa ujenzi ni Afisa mkubwa walijenga barabara isiyo na kiwango ktk kumhoji akanambia akijenga ya kiwango yeye na familia yake watakula nini?
Anajua hyo isiyo na kiwango baada ya muda itahitaji matengenezo hivyo atapata fedha. Nilichoka!

Afisa mmoja mkubwa anateuliwa na Rais akanambia usipo kula fedha ya serikali wengine wanakula. Usiangalie kuendeleza nchi. Jiendeleze mwenyewe.
Baada ya muda niliona niache kazi ya serikali na kufanya kazi katika mashirika ya kimataifa.

Tuombeni na kudai Katiba mpya. La sivyo hata vyama shindani vikiingia bado ni yale yale.
 
Hawakawii kusema huu ni uchochezi, kwamba mnachochea wananchi kuwachukua wawakilishi wao Bungeni.

Binafsi nakubaliana na hoja, na wao wakatwe 30% ya mapato yao yote kama sisi tunavyolimwa - tuanze na hapa kwanza.
 
Unakuta mbunge anajisifia kusema watu wangu. Huku hao watu wakiteseka, fukara. Shule majengo shida, huduma za afya tabu. Mtu mmoja analipwa mamilioni.
Hakuna haki. Wabunge wenyewe majimboni hawaonekani. Wakienda Bungeni maswali ni yale yale toka nazaliwa hakuna linalo badilika. Utasikia korosho, Pamba, ufugaji, madini, elimu. Hivi haya yote hayajapata ufumbuzi toka wakati wa Nyerere hadi Leo! Miaka 60 tunaongelea jambo lile lile!
Ulaya ya miaka ya hamsini na tisini ilikuwa masikini si kama ya Leo. China, Malyasia, India, Korea na nyinginezo walikuwa masikini.
Je sisi watanzania tumelaniwa nini? Nyerere alitupatia viwanda leo vyote hakuna.
Shida ni nini? Nilibahatika kufanya kazi serikalini, nilipo ingia nilishangaa mengi. Hapo nikajua Tanzania kwendelea ni kazi. Tutapiga mark time.
Tunahitaji kubadili mfumo wa kiutumishi. Tunahitaji kubadili matumizi ya fedha na mshahara. Tunahitaji kubadili mfumo wa utekelezaji wa miradi.
Pia kubadili mfumo wa Bunge. Na kuwa na wabunge wachache. Kufuta viti maalum. Na wabunge wawajibishwe mara wanapokuwa si wawajibikaji.
Hivyo tunahitaji muundo mpya wa serikali. Hata baraza la mawaziri hatuhitaji utitiri wa mawaziri.

Kuna mtaalamu wa ujenzi ni Afisa mkubwa walijenga barabara isiyo na kiwango ktk kumhoji akanambia akijenga ya kiwango yeye na familia yake watakula nini?
Anajua hyo isiyo na kiwango baada ya muda itahitaji matengenezo hivyo atapata fedha. Nilichoka!

Afisa mmoja mkubwa anateuliwa na Rais akanambia usipo kula fedha ya serikali wengine wanakula. Usiangalie kuendeleza nchi. Jiendeleze mwenyewe.
Baada ya muda niliona niache kazi ya serikali na kufanya kazi katika mashirika ya kimataifa.

Tuombeni na kudai Katiba mpya. La sivyo hata vyama shindani vikiingia bado ni yale yale.
Inasikitisha sana
 
Daah inasikitisha sana. Umenena ukweli mtupu watumishi wengi wapo kwa ajili ya matumbo yao hata ukiingia mtakatifu unatoka mwizi ( mfumo ).

Sasa wa kubadili hayo ni nani ? Hao viongozi hata siku moja hawawezi kujimwagia ugali wao ( maslahi) kisa wengi wapate hata katiba mpya mkwamo upo hapo.

Inaumiza sana kwa kweli. Viongozi ni vilaza na wabinafsi.
 
Labla wakianza kulipwa vizuri Walimu ndio Nchi itaendelea kuliko viongozi wanaolipwa mamilioni bado sio wabunifu na wezi.
 
Daah inasikitisha sana. Umenena ukweli mtupu watumishi wengi wapo kwa ajili ya matumbo yao hata ukiingia mtakatifu unatoka mwizi ( mfumo ).

Sasa wa kubadili hayo ni nani ? Hao viongozi hata siku moja hawawezi kujimwagia ugali wao ( maslahi) kisa wengi wapate hata katiba mpya mkwamo upo hapo.

Inaumiza sana kwa kweli. Viongozi ni vilaza na wabinafsi.
Pesa inayotafunwa humo bungeni kama mshahara na posho kwa mwaka ingetosha kabisa kuboresha shule na hospitali nchi nzima, hapo bado hujajumlisha zile zinazopigwa kwa magendo (ufisadi).
 
Wabunge ni namba moja ila Politicians in general ndio virus wa maendeleo wa Nchi hii akili zao zipo kwenye mishahara minono, posho na wizi wa pesa za Umma.

Nchi hii bila wanasiasa tungekuwa mbali sana
Mngekuwa mbali kivipi hata uhuru wa Tanzania usingekuwepo kabisa kama wanasiasa wasingalikuwepo,"Kama siyo juhudi zako Nyerere Tanzania tungekuwa wapi" Nyerere alikuwa Mwanasiasa,Mwinyi ni mwanasiasa,Mkapa alikuwa Mwanasiasa,Kikwete ni Mwanasiasa,Magufuri alikuwa mwanasiasa leo Chato inatathminiwa kuwa MKOA kwa sababu ya Magufuri mwanasiasa na Mama Samia Suluhu ni mwanasiasa na kazi zinaendelea kama kawaida.
 
Umesema cha maana sana hakika wabunge ni miongoni mwa wanyonyaji wakubwa. Isitoshe viti maaluum havina ulazima wala haisaidii kitu vifutwe. Tumejenga tabaka la watu fulani kazi yao kuzungukia nafasi hizo kwa njia ya kutoa rushwa.
Kweli kabisa wabunge wa viti maalum ni jipu.
 
Back
Top Bottom