Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,527
- 6,306
Ninashauri viti maalum viwe ni kwa wenye mahitaji maalum kama wasiosikia, wasioona, albino, na walemavu wengine.Viti maaum vifufutwe, ni matumizi mabaya sana ya pesa za walipa kodi.
Definitely, lakin ndo viti maalum wanapewa ma-staffNinashauri viti maalum viwe ni kwa wenye mahitaji maalum kama wasiosikia, wasioona, albino, na walemavu wengine.
Kwa mtazamo wang.. kingeanzishwa chama ambacho kinajumuisha wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, wafugaji na wale wote ambao hawajaajiriwa na serikali kikawa kama chama pinzani dhidi ya bunge kikalikosoa bunge na wabunge kwa ujumla wake kama ilivyo vyama Pinzani vya siasa dhidi ya CCM , ilikutetea maslahi ambayo wabunge wanayakalia na kuwakandamiza wananchi ambao sio wabunge. Makato Yao na stahiki zao zikafanana na wananchi wengineWatanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani.
Tunapaswa pia tufahamu wanaopigana wakiwa upande wetu bega kwa bega ni akina nani. Wanaweza kuwepo watu wa namna hiyo lakini si Wabunge.
Sikiliza haya yanayohusi Wabunge. Halafu tupaze sauti zetu kuwataka waache kutunyonya. Waache kuumiza Watanzania Maskini.
Tatizo ni kwamba nchi hii kundi lolote likiwa organised linatekwa na wanasiasa.Kwa mtazamo wang.. kingeanzishwa chama ambacho kinajumuisha wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, wafugaji na wale wote ambao hawajaajiriwa na serikali kikawa kama chama pinzani dhidi ya bunge kikalikosoa bunge na wabunge kwa ujumla wake kama ilivyo vyama Pinzani vya siasa dhidi ya CCM , ilikutetea maslahi ambayo wabunge wanayakalia na kuwakandamiza wananchi ambao sio wabunge. Makato Yao na stahiki zao zikafanana na wananchi wengine
Naiunga hii hoja.Ianzishwe hashtag kwa Samia kupinga ujinga huu!
Ujumbe utakuwa umeshawafikia hata wakiteka watuTatizo ni kwamba nchi hii kundi lolote likiwa organised linatekwa na wanasiasa.
Wanalipana wanavyopendaWabunge ni namba moja ila Politicians in general ndio virus wa maendeleo wa Nchi hii akili zao zipo kwenye mishahara minono, posho na wizi wa pesa za Umma.
Nchi hii bila wanasiasa tungekuwa mbali sana
Hahah nao wakapate Raha ya kuzungushwa pesa zao na PSSSF.Tuanze na kupunguza mishahara yao iwe nusu, kisha tuwaambie walipe kodi na PSSSF, na wakimaliza muda wao wasubirie miaka miwili kupewa kiinua mgongo.
Wasiruhusiwe kukopa kutoka mifuko ya PENSION.
Yangu mimi ni hayo tu.
Everyday is Saturday............................... 😎
Watz peke ndio wabunge wake huwa upande wa siri Kali ktk kumvisha NIRA ya maskai MTU wa hali ya chini huku wakimwimbia mapambio, hii ni ajabu sana.Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani.
Tunapaswa pia tufahamu wanaopigana wakiwa upande wetu bega kwa bega ni akina nani. Wanaweza kuwepo watu wa namna hiyo lakini si Wabunge.
Sikiliza haya yanayohusi Wabunge. Halafu tupaze sauti zetu kuwataka waache kutunyonya. Waache kuumiza Watanzania Maskini.