Wabunge Shigongo na Sanga hii Vita mnayotaka Kuipigana mmejiandaa na Nguvu ya 'Mafia' wanaowazunguka?

Wabunge Shigongo na Sanga hii Vita mnayotaka Kuipigana mmejiandaa na Nguvu ya 'Mafia' wanaowazunguka?

Nawaoneeni sana na mno Huruma.
Je!
Wewe unataka kuwatisha ili wasisimamie ukweli?

Je!
Wewe umesimamia upande gani katika hili janga la wizi wa kitaifa?

Kama huwa unajinasibu kuwa smart na intelligent...mbona unakaa kimya huku ukionekana kuwa part of those Smugglers of the Nation?

Tuache ujuaji mwingi usio na tija kwa taifa,watu wachache wanamiliki akili za mamilioni kutokana na virus zao kana wewe,zilizosambaa kila nyanja.

Leo hii Mwizi ndie ansonekana mjanja wa mjini.

Halafu mtetea haki anaishia kuitwa mshamba!

GENTAMYCINE mimi ni mmoja wa watu ambao huwa nakubaliana na hoja zako sana,lakini kwa hili niseme "HAPANA"
IMG-20221104-WA0008.jpg
 
Hii vita ni ngumu sana kwani ni sawa na kwenda vitani kupigana na usiwajue maadui wako japo maadui wanakujua ww,UMEKWISHA
 
Back
Top Bottom