GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Nov 6, 2022 #1 Nawaoneeni sana na mno Huruma.
Phobia JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 1,156 Reaction score 1,819 Nov 6, 2022 #2 GENTAMYCINE said: Nawaoneeni sana na mno Huruma. Click to expand... Mke wa Netanyahu kwenye ubora wako
GENTAMYCINE said: Nawaoneeni sana na mno Huruma. Click to expand... Mke wa Netanyahu kwenye ubora wako
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,355 Reaction score 4,476 Nov 6, 2022 #3 Funguka basi mukubwa nini kinajiri!
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Nov 6, 2022 #4 Kaka Genta bado hujeleweka Sent using Jamii Forums mobile app
voicer JF-Expert Member Joined Jul 13, 2020 Posts 5,545 Reaction score 11,935 Nov 7, 2022 #5 GENTAMYCINE said: Nawaoneeni sana na mno Huruma. Click to expand... Je! Wewe unataka kuwatisha ili wasisimamie ukweli? Je! Wewe umesimamia upande gani katika hili janga la wizi wa kitaifa? Kama huwa unajinasibu kuwa smart na intelligent...mbona unakaa kimya huku ukionekana kuwa part of those Smugglers of the Nation? Tuache ujuaji mwingi usio na tija kwa taifa,watu wachache wanamiliki akili za mamilioni kutokana na virus zao kana wewe,zilizosambaa kila nyanja. Leo hii Mwizi ndie ansonekana mjanja wa mjini. Halafu mtetea haki anaishia kuitwa mshamba! GENTAMYCINE mimi ni mmoja wa watu ambao huwa nakubaliana na hoja zako sana,lakini kwa hili niseme "HAPANA"
GENTAMYCINE said: Nawaoneeni sana na mno Huruma. Click to expand... Je! Wewe unataka kuwatisha ili wasisimamie ukweli? Je! Wewe umesimamia upande gani katika hili janga la wizi wa kitaifa? Kama huwa unajinasibu kuwa smart na intelligent...mbona unakaa kimya huku ukionekana kuwa part of those Smugglers of the Nation? Tuache ujuaji mwingi usio na tija kwa taifa,watu wachache wanamiliki akili za mamilioni kutokana na virus zao kana wewe,zilizosambaa kila nyanja. Leo hii Mwizi ndie ansonekana mjanja wa mjini. Halafu mtetea haki anaishia kuitwa mshamba! GENTAMYCINE mimi ni mmoja wa watu ambao huwa nakubaliana na hoja zako sana,lakini kwa hili niseme "HAPANA"
M MOREMI2006 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2021 Posts 551 Reaction score 548 Nov 7, 2022 #6 Hii vita ni ngumu sana kwani ni sawa na kwenda vitani kupigana na usiwajue maadui wako japo maadui wanakujua ww,UMEKWISHA
Hii vita ni ngumu sana kwani ni sawa na kwenda vitani kupigana na usiwajue maadui wako japo maadui wanakujua ww,UMEKWISHA