BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Hawa watanzania wenye maneno mengi nyuma ya keyboard?Kabla ya muda huo kuna watakao ingia barabarani mkuu vinginevyo kila kitu kinauzwa tena mkiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watanzania wenye maneno mengi nyuma ya keyboard?Kabla ya muda huo kuna watakao ingia barabarani mkuu vinginevyo kila kitu kinauzwa tena mkiona
Musukuma, Zungu, Nape, Tulia, Kibajaji, jamani msiwasahau katika orodha ya wanaotakiwa kupumzishwa kwa nguvu, japo ni wahongaji wazuri wa wapiga kura,Kwa uhakika zaidi Waitara, Kitila Mkumbo, Mrisho, Gwajima, Tulia na Sanga hawatarudi 2025. Labda wafu wafufuke.