Wabunge tumieni pesa yenu vizuri, wengi hamtorudi msimu ujao

Kwa uhakika zaidi Waitara, Kitila Mkumbo, Mrisho, Gwajima, Tulia na Sanga hawatarudi 2025. Labda wafu wafufuke.
Musukuma, Zungu, Nape, Tulia, Kibajaji, jamani msiwasahau katika orodha ya wanaotakiwa kupumzishwa kwa nguvu, japo ni wahongaji wazuri wa wapiga kura,
 
Wengi hutumia pesa nyingi sana kuhonga, mwisho wanabaki na madeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…