Wabunge tusaidieni kuiuliza serikali ni lini itaruhusu mfumo wa kupokea pesa wa biashara za mitandaoni wa Paypal?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka

Waweza uza chochote mitandaoni

Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno

Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
 
Huu mfumo bado sio salama kwenye error hii ya ugaidi kumbuka msumbuji wamesema kuna wafadhili ugaidi watatu wapo tanzania hapo iran anamulikwa kwa jicho la tofauti
 
Mnataka mpokee na fedha za kufadhili ugaidi?
 
Huu mfumo bado sio salama kwenye error hii ya ugaidi kumbuka msumbuji wamesema kuna wafadhili ugaidi watatu wapo tanzania hapo iran anamulikwa kwa jicho la tofauti
unaelewa maana ya mfumo wa malipo ya biashara za mtandaoni? unauza bidhaa unalipwa.

.Bidhaa inakuwa wazi kila mtu duniani aweza iona unayouza na Bei yake kuna ugaidi gani hapo?
 
Huu mfumo bado sio salama kwenye error hii ya ugaidi kumbuka msumbuji wamesema kuna wafadhili ugaidi watatu wapo tanzania hapo iran anamulikwa kwa jicho la tofauti
Acha kutumia lugha usiyoijua!
Error ya ugaidi???
Era ya ugaidi.
 
Huu mfumo bado sio salama kwenye error hii ya ugaidi kumbuka msumbuji wamesema kuna wafadhili ugaidi watatu wapo tanzania hapo iran anamulikwa kwa jicho la tofauti
Acha kupotosha
 
NA BADO MKUU WEWE NDO ULIKUWA MMOJA WA WALE WALIOKUWA WANASIFIA MADUDU MENGI YA AWAMU ILIYOPITA,WAWEKEZAJI WENGI MLIWAKIMBIZA AFU UNALILIA NA PAYPAL DUNIA YA SASA
Huelewi. Mimi nilipigania kuwa PayPal iwepo toka Magufuli yupo madarakani post zangu ziko kibao humu Jamii forums toka miaka hiyo wewe Ukiwa hujui hata PayPal Ni nini
 
Magufuli huyu mwendazake au?
 
Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka

Waweza uza chochote mitandaoni

Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno

Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
Wabunge wenyewe wako wapi?
 
Wabunge gani wakusaidie kwa hili?Babu Tale au vile vizee vingine vya kikoloni vya CCM vinajua Paypal ni nini?Ina maana uliporuhusu CCM kupora chaguzi hukujua kuwa ulipigwa?Wewe unafikiri kuwa watu huwa wanalinda kura bila kujua faida yake?
 
Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka

Waweza uza chochote mitandaoni

Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno

Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
Chadema wakiingia madarakani wako tayari kuruhusu paypal je utaipa kura yako chadema?
 
Mkuu umelipambania sana hili swala. Sema ndo ivo viongozi wetu wameweka pamba masikioni.
Naunga mkono hoja.
 
Chadema wakiingia madarakani wako tayari kuruhusu paypal je utaipa kura yako chadema?
Hatukuwasikia mbona kutamka hiki kitu kwenye kampeni zao tuliwaona tu wanarukaruka tu majukwaani na kuongea vitu visivyoeleweka
 
Kifupi huwezi ongelea kuongeza exports bila kuongelea mauzo nje ya bidhaa na huduma za mitandaoni

Na ukiongelea tu exports za online products and services njia ya kupokea malipo upesi ya PayPal huwezi kukwepa

Tanzania tuko nyuma tunawaxa exports za makorosho,mipamba nk tuko kizamani mno

Siku hizi Kuna online exports mtu aweza uza kitabu chake kikiwa na mfumo wa PDF nk online akalipya chap chap na PayPal

Serikali iruhusu mbeleni huko litakuja kuwa eneo zuri la kukusanya Kodi.Waanze Kwanza kuruhusu biadhara zichangamke Kwanza wasianze to na day one Kodi watu waweza kuwa scared y
 
Back
Top Bottom