unaelewa maana ya mfumo wa malipo ya biashara za mtandaoni? unauza bidhaa unalipwa.Huu mfumo bado sio salama kwenye error hii ya ugaidi kumbuka msumbuji wamesema kuna wafadhili ugaidi watatu wapo tanzania hapo iran anamulikwa kwa jicho la tofauti
Acha kutumia lugha usiyoijua!Huu mfumo bado sio salama kwenye error hii ya ugaidi kumbuka msumbuji wamesema kuna wafadhili ugaidi watatu wapo tanzania hapo iran anamulikwa kwa jicho la tofauti
Acha kupotoshaHuu mfumo bado sio salama kwenye error hii ya ugaidi kumbuka msumbuji wamesema kuna wafadhili ugaidi watatu wapo tanzania hapo iran anamulikwa kwa jicho la tofauti
Huelewi. Mimi nilipigania kuwa PayPal iwepo toka Magufuli yupo madarakani post zangu ziko kibao humu Jamii forums toka miaka hiyo wewe Ukiwa hujui hata PayPal Ni niniNA BADO MKUU WEWE NDO ULIKUWA MMOJA WA WALE WALIOKUWA WANASIFIA MADUDU MENGI YA AWAMU ILIYOPITA,WAWEKEZAJI WENGI MLIWAKIMBIZA AFU UNALILIA NA PAYPAL DUNIA YA SASA
huo ni mfumo tu. wao hawajali pesa zinatumwa kwa kazi gani maana si kazi yao. mfumo si tatizo.. ila watumiajiMnataka mpokee na fedha za kufadhili ugaidi?
Magufuli huyu mwendazake au?Huelewi. Mimi nilipigania kuwa PayPal iwepo toka Magufuli yupo madarakani post zangu ziko kibao humu Jamii forums toka miaka hiyo wewe Ukiwa hujui hata PayPal Ni nini
Wabunge wenyewe wako wapi?Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka
Waweza uza chochote mitandaoni
Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno
Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
Chadema wakiingia madarakani wako tayari kuruhusu paypal je utaipa kura yako chadema?Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka
Waweza uza chochote mitandaoni
Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno
Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
Kwanza hapo bungeni kina babu tale na khamis Tambaza na msukuma unafikiri ili neno PayPal ( urafiki was karamu) wanajua linahusu kitu gani ?Ndio