Wabunge tusaidieni kuiuliza serikali ni lini itaruhusu mfumo wa kupokea pesa wa biashara za mitandaoni wa Paypal?

Swali la msingi ni lini serikali na jeshi la polisi wataruhusu mfumo wa vyama vingi nchini?
 
Kwa hiyo ukiwa gazeti lako lako online ukilipwa kwa PayPal unakuwa unapokea pesa za Ugaidi?
Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo,subirini mpaka tuweze kuwadhibiti kenge vinginevyo tunaweza kujikuta tunazalisha kina Mbowe wengi 🐒
 
Chadema wakiingia madarakani wako tayari kuruhusu paypal je utaipa kura yako chadema?

Fucc Paypal! Nitawapigia kura Chadema wakisema wapo tayari kulipa kodi kwenye Mishahara yao; na wapo tayari ku-adjust Mishahara iendane na kazi wanayofanya huko bungeni!

Tofauti na hapo fvck politicians!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…