Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM wafuatao watasombwa na upepo wa kimbunga cha Lissu kama walivyosombwa na mafuriko baadhi ya wabunge wa Kaskazini mwaka 2015


Lisu ana vumbi tu....hana jipyaaaa!!!!
 
Ni vizuri uanze kuanza kuwaza kinyume chake!
Chadema kupata wabunge 5 mwaka huu ni bahati
 
Uchawi wao upo kwenye mawakala hapo, wakidhibitiwa hapo basi tena. Kwa kuwa Lissu amelitolea macho suala la kuwaapisha ,basi wataapishwa lakini siku ya kupiga kura watachanganywa na hawataruhusiwa kuingia vituoni, hapo ndipo dunia itakapoingilia .
Kuna hatari vituo vinaweza vikachomwa moto na uchaguzi ukavurugika kabisa. Ccm wachunge sana. Huwezi ukapambana na wakati. Never.
 
Haya mabandiko yenu mwisho wenu ni tarehe 28 nadhani mmeshaweka shingo kibra ndio maana mmeanza na kauli za Vurugu mara patachimbika yaani Chiba anapiga mkwara haaa haaa
 
Nilikuwa nikijiuliza Mwigulu yuko wapi??
Hata watakao mpigia kura Magufuli wanapoteza muda wao. Magufuli kushinda na kushindwa kwake hatagemei kura yako.

Kitakachimshindisha JPM au kumfanya ashinndwe sio kura utakayompigia.

Bora kura umpe Lissu tu.
 
huyu mama amelewa madaraka hakuwa mrokaji ovyo hivi au ndo dance according to da bit...
Nilimstukia kitambo, ana dharau sana. Ila anajua kuificha.

Ila kwa sasa kipindi cha kampeni, ni vigumu kuficha tabia ya mtu.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Subutu mwaka huu upinzani umepata mtu sahihi kabisa mwaka huu ccm ndo watajua nini maana ya kukataliwa
 
Mwaka huu upinzani umepata mtu sahihi
Alimtesa sana mzee Lowasa kwa kupiga push up akijua hawezi push up, mwaka huu asiyempenda kaja.
Kwishaaa kabisa, akipiga kampeni siku mbili anapelekwa gereji, mimi na ka mguu wangu ninadunda...by Lissu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…