Mkamanga junior
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 159
- 225
- Thread starter
- #41
Namaanisha watatolewa nje na askariHivi unaposema CCM hawatakubali Mawakala wa CHADEMA kuingia ndani ya Vituo vya kupgia kura unamaanisha nini!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha watatolewa nje na askariHivi unaposema CCM hawatakubali Mawakala wa CHADEMA kuingia ndani ya Vituo vya kupgia kura unamaanisha nini!?
Mwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na hii ilitokana na mgombea kutokea ukanda huo.wabunge kama Ole Sendeka, Anna Kilango, Steven Kebwe, Agrey Mwanry, na wengineo walisombwa na mafuriko hayo ya Lowasa
Mwaka huu wabunge wengi wa CCM toka mkoa wa singida hawatarudi. Watasombwa na kimbunga cha Lissu. Kaka yangu Mwigulu alivyobanwa mwaka huu ameacha hadi kufanya kampeni kutwa anashinda ofisi ya msimaizi kupanga ni namna gani atatangazwa mshindi , si kawaida yake Mwigulu .amebanwa sana mwaka huu. lakini wabunge wa ccm wa mkoa wa singida karibu wote wanapumulia mashine.
Na Lissu ameamua kuushambulia mkoa huo si kawaida na wananchi wanamwelewa. Hakika CCM wakishindwa kubanana na mawakala wa chadema na wakawaruhusu kuingia ndani ccm itakuwa imefutika rasmii kwa baadhi ya maeneo. Lakini ninacho kijua Mimi maeneo yote ambayo ccm haikubaliki kama dar,mbeya,arusha kwanza, mkoa wa manyara hawatakubali mawakala
Lisu ana vumbi tu....hana jipyaaaa!!!!Mwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na hii ilitokana na mgombea kutokea ukanda huo.wabunge kama Ole Sendeka, Anna Kilango, Steven Kebwe, Agrey Mwanry, na wengineo walisombwa na mafuriko hayo ya Lowasa
Mwaka huu wabunge wengi wa CCM toka mkoa wa singida hawatarudi. Watasombwa na kimbunga cha Lissu. Kaka yangu Mwigulu alivyobanwa mwaka huu ameacha hadi kufanya kampeni kutwa anashinda ofisi ya msimaizi kupanga ni namna gani atatangazwa mshindi , si kawaida yake Mwigulu .amebanwa sana mwaka huu. lakini wabunge wa ccm wa mkoa wa singida karibu wote wanapumulia mashine.
Na Lissu ameamua kuushambulia mkoa huo si kawaida na wananchi wanamwelewa. Hakika CCM wakishindwa kubanana na mawakala wa chadema na wakawaruhusu kuingia ndani ccm itakuwa imefutika rasmii kwa baadhi ya maeneo. Lakini ninacho kijua Mimi maeneo yote ambayo ccm haikubaliki kama dar,mbeya,arusha kwanza, mkoa wa manyara hawatakubali mawakala wa chadema
Is this true? amebanwa na nani?Kaka yangu Mwigulu alivyobanwa mwaka huu
.
Kusini ya Lindi na Mtwara sio Ruvuma ,wangoni ccm na ugimbi ,ugimbi na ccm
Ni vizuri uanze kuanza kuwaza kinyume chake!Mwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na hii ilitokana na mgombea kutokea ukanda huo.wabunge kama Ole Sendeka, Anna Kilango, Steven Kebwe, Agrey Mwanry, na wengineo walisombwa na mafuriko hayo ya Lowasa
Mwaka huu wabunge wengi wa CCM toka mkoa wa singida hawatarudi. Watasombwa na kimbunga cha Lissu. Kaka yangu Mwigulu alivyobanwa mwaka huu ameacha hadi kufanya kampeni kutwa anashinda ofisi ya msimaizi kupanga ni namna gani atatangazwa mshindi , si kawaida yake Mwigulu .amebanwa sana mwaka huu. lakini wabunge wa ccm wa mkoa wa singida karibu wote wanapumulia mashine.
Na Lissu ameamua kuushambulia mkoa huo si kawaida na wananchi wanamwelewa. Hakika CCM wakishindwa kubanana na mawakala wa chadema na wakawaruhusu kuingia ndani ccm itakuwa imefutika rasmii kwa baadhi ya maeneo. Lakini ninacho kijua Mimi maeneo yote ambayo ccm haikubaliki kama dar,mbeya,arusha kwanza, mkoa wa manyara hawatakubali mawakala wa chadema
Kuna hatari vituo vinaweza vikachomwa moto na uchaguzi ukavurugika kabisa. Ccm wachunge sana. Huwezi ukapambana na wakati. Never.Uchawi wao upo kwenye mawakala hapo, wakidhibitiwa hapo basi tena. Kwa kuwa Lissu amelitolea macho suala la kuwaapisha ,basi wataapishwa lakini siku ya kupiga kura watachanganywa na hawataruhusiwa kuingia vituoni, hapo ndipo dunia itakapoingilia .
Mnajidanganya na pombe zaasubuhi 😁😁😁😁Ni ukweli ulio ' dhahiri ' ! Hilo hakuna anaepinga.
huyu mama amelewa madaraka hakuwa mrokaji ovyo hivi au ndo dance according to da bit...Makamu wa Rais Samia Suluhu alishasema mkiwapigia au msipowapigia watashinda.
Inaonekana magoli ya mkono yanaandaliwa.
Endelea kusikiliza propaganda za Bashiru.Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Nilikuwa nikijiuliza Mwigulu yuko wapi??Mwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na hii ilitokana na mgombea kutokea ukanda huo.wabunge kama Ole Sendeka, Anna Kilango, Steven Kebwe, Agrey Mwanry, na wengineo walisombwa na mafuriko hayo ya Lowasa
Mwaka huu wabunge wengi wa CCM toka mkoa wa singida hawatarudi. Watasombwa na kimbunga cha Lissu. Kaka yangu Mwigulu alivyobanwa mwaka huu ameacha hadi kufanya kampeni kutwa anashinda ofisi ya msimaizi kupanga ni namna gani atatangazwa mshindi , si kawaida yake Mwigulu .amebanwa sana mwaka huu. lakini wabunge wa ccm wa mkoa wa singida karibu wote wanapumulia mashine.
Na Lissu ameamua kuushambulia mkoa huo si kawaida na wananchi wanamwelewa. Hakika CCM wakishindwa kubanana na mawakala wa chadema na wakawaruhusu kuingia ndani ccm itakuwa imefutika rasmii kwa baadhi ya maeneo. Lakini ninacho kijua Mimi maeneo yote ambayo ccm haikubaliki kama dar,mbeya,arusha kwanza, mkoa wa manyara hawatakubali mawakala wa chadema
Labda hilo. Nec tutaidhibiti sisi. Kikubwa tuoate matokeo ya vituo tu basi.CCM itabebwa na NEC
Hana jinsi... Ndiyo maana anajisahau na kutoa siri zao.huyu mama amelewa madaraka hakuwa mrokaji ovyo hivi au ndo dance according to da bit...
Nilimstukia kitambo, ana dharau sana. Ila anajua kuificha.huyu mama amelewa madaraka hakuwa mrokaji ovyo hivi au ndo dance according to da bit...
Subutu mwaka huu upinzani umepata mtu sahihi kabisa mwaka huu ccm ndo watajua nini maana ya kukataliwaUchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Alimtesa sana mzee Lowasa kwa kupiga push up akijua hawezi push up, mwaka huu asiyempenda kaja.Mwaka huu upinzani umepata mtu sahihi
Angalia usije uka overpromise na ku underdeliver.