Wabunge wa CCM 'walioanguka' kura za wajumbe

Nao waje wajiajiriii maana siwalikuwa wanasema tujiajiriii .

Tuonee
 
 
Wawahi VETA tu hakuna jinsi nyingine, Kassim Majaliwa ameshajaza appliction kujiunga VETA .
Oya wenzio wanamiliki na mabillion punguza kejeli plus pension wanayopata baada ya kustaafu ubunge huwaambii kitu
 
Temeke, mbagala, chamazi, kigamboni, kisarawe, mkuranga, kibiti, Morogoro kusini, Bagamoyo, Kibaha na Kibaha vijijini.
Leteni matokeo kwa majimbo hayo ya Dar na jirani zake
Tunasubiri kwa hamu!
 
Wa
Wakuajiajiri fursa zipo mtaani. Wao wamepata kiinua mgongo cha 400M sio mchezo wana mtaji wa kutosha, na soko la kuku ni kubwa sana kitaa
 
Duh kweli maisha hayana mwenyewe, Yani Fadhili Ngajilo anamzidi Msigwa? Nina uhakika 100%, Msigwa agombee Chadema, Ngajilo angombee CCM, Msigwa anachukua ushindi
Msigwa ameshanyea kambia huko Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…