Wabunge wa CCM 'walioanguka' kura za wajumbe

Nimetoa competition apa tutume vyeti mbona unaongea sana
 
Mabillion
Vipi una wifi yako kaliwa kichwa nini unajifarijifariji...eti mabilioni...unaijua bilioni wewe ..mnafikri bilioni ni kama manyonyo mnayoshika.. Warudi mtaani wakatumie hela hizo kunywa pombe na starehe wajisahaulishe machungu
 
Duh kweli maisha hayana mwenyewe, Yani Fadhili Ngajilo anamzidi Msigwa? Nina uhakika 100%, Msigwa agombee Chadema, Ngajilo angombee CCM, Msigwa anachukua ushindi
Msigwa unayemzungumzia ni huyu wa ccm, au aliyekuwa Msigwa wa Chadema?
 
Tabata Segere ili pisi imeshinda?
 
Wananchi wakiamua wanaweza
Vita Kawawa
Pinda
Kingwalangwala
Mbulaya- urafiki na mzee Halima utaimarika.
Matiko - hivi alitegemea kushinda?
Kimei
Sukuma ndani
Makamba- asahau uongozi
Msighwa - huyu asahau kurudi bungeni.
Matomato - labda aende Dodoma kutembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…