Hizi ngonjera zenu zinachosha masikioni. Huyo CEO kama anachokifanya ni kosa la jinai kwanini msimkamate badala ya kufanya mambo ambayo yana athari kubwa katika uchumi? Msifanye maamuzi kwa kuongozwa na roho mbaya tu!Hao wabunge ni wanafiki. Kama leo umesikiliza mazungumzo ya rais na wahariri utakubaliana na mimi hao ni wabunge maslahi. Hivi inaingia akilini shirika kama NDC, hela zake linaweka CRDB na tena kwa fixed deposit, CEO anapata 10 percent ya faida ya fixed deposit, then serikali inaamua kukopa/kuuza T bills, then bank kutumia hizo hizo za serikali inaenda kuikopesha serikali na serikali inakuja kulipa hizo hela na riba juu yake.
Ukiwa wewe hukubaliani na sera ya chama chako ni vizuri zaidi ukajiuzulu katika nafasi hiyo badala ya kuwa chui uliyevaa ngozi ya kondoo.
Chama kitakuamini vipi kwenye mikutano ya ndani kama wewe ni msaliti.
mkuu, kwa wanaCCM, ni chama kwanza...nchi baadaye! Inasikitisha sana I see.Hivi kumbana waziri atekeleze majukumu yake, au kuisimamia serikali isiharibu uchumi kwa mfano, huko ndiyo kupingana na sera za ccm, basi ni bora tusiwe na CCM kabisa.