Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Ufalme wa CHADEMA kuhamia NCCR- Mageuzi... mh Abood wa Morogoro angesoma alama za nyakati na kutangaza kustaafu maana nimeliona jimbo lake kwenye orodha ya majimbo 'waliyopewa' NCCR.
 
Mtihani gani mugumu wakati watz wanachapakazi tu! Au wewe umejilockdown? Wabunge waoga hao kama wapigakura wao hawaogopi wanapigakazi wao wajifungia ndani.
Corona sio mvua hadi kusema ikinyesha wote walio nje mnaloa. Yenyewe inautaratibu wake mradi ujampa heshima yake na wewe unajijua umri umeenda, una maradhi mengine yanayo dhoofisha kinga ya mwili na utaki kuchukua tahadhari basi elewa kila siku ya mungu unachezea bahati nasibu maisha yako.

Uongozi ni dhamana ya kujua changamoto za jamii, kiongozi anatakiwa kuwa na ‘soft skills’ uwezi kuona nchi ipo kwenye hali ya hatari halafu una msimamo wa business as usual inaonyesha you are not compassion; wachina wanamsemo ‘jemedari asiyefikiria mauti yanayowasubiri askari wake kabla ya kuamua kuingia vitani hafai kuongoza.

As a leader you got to take ‘rationale decisions’ kutokana na hali mpya iliyojitokeza hata kama ukuitarajia.

Hao watu wanaotoka nje kila siku na wenyewe wanahatarisha maisha ya familia zao ambao wapo majumbani.

Tutumie mfano wa nchi kama UK lockdown yao aikupangwa Boris Johnson alikuwa mbishi kidogo ilikuwa kama Tanzania wanashsuri tu wananchi wao wanawe, wasitoke kama hawana ulazima. Jumatatu waliyopiga ban weekend yake jua lilitoka mijitu ikajazana parks, wengine wakaenda tembelea remotes tourist attraction za vijijini na wenyeji huko wakalalamika sana mijitu ya mjini inataka kuwapelekea maambukizi ndipo serikari yao walipo baini pamoja na somo lote walilokuwa wanatoa kuhusu social distancing lakini kuna mijitu ailewi somo jambo ambalo lilikera serikari kuokoa wengine ikaonekana bora lockdown ianze.

Sio sisi yaani tuna encourage mijitu kukusanyika kwenye masoko, ma bar na maisha yaendelee kama hakuna pandemic, sasa hivi kuna maambukizi ya kutosha ngoja incubation inayoisha baada ya wiki mbili ndio tutajua.

Si mlikuwa mnauliza watu lini hizo taharuki zitaanza muda umefika yaani kuanzia sasa kwenda mbele hili jambo aliwezi kuwa siri tena.
 

Ujinga ni mzigo sana ndio unao tafuna hili taifa miaka nenda rudi,vyakula vina letwa na malori ambayo abilia wake ni dereva na msaidizi wake , ukitaka kuzuia maambukizi unaangalia usafiri wa watu wengi maana yake mabasi au treni kuzuia zaidi ya watu 100 kupata maambukizi kwa wakati mmoja wakisafiri.

Pili uendako huko mkoani unaenda kuambukiza wengine kwa wingi ambako huko hata tiba hakuna matokeo yake taifa zima linapata maambukizi na mnashindwa kucontrol kwa kazi kimoja cha mbeya, zuia maambukizi kwanza yasienee ndipo uanze kuwaza viazi vya mbeya.
 

Wabunge wa kile chama wako kama hawa wafungwa. Hawana jinsi ya kutoka pale walipofungiwa!!
 
Jamani hii kijani ionewe tu huruma. Shida ni kauli za mbwembwe walizokuja nazo kumbeza huyu mshambuliaji hatari Covid19 "clinical finisher" wakati anasajiliwa. Sasa ameanza kufunga magoli mfululizo wanaona soo kulamba matapishi yao... Ila hapa ni better late than never.. They are not on their minds ni wa kuhurumiwa.

Kwa hali na akili ya kawaida huwezi kushupaza shingo kung'ang'ania eti hakuna shida kila kitu kipo sawa so tunaweza kuendelea na mijadala ya kawaida tu ya kupitisha bajeti za mwaka ujao wa fedha.

Majirani zetu walisema "you will cry premium tears" ni dhahiri tutalia kwelikweli. Wasipoondoka hapo mjengoni Covid19 atajifanyia maajabu ya karne hapo. Tuache mzaha...
 
Tumekuwa tukishuhudia watendaji katika awamu ya 5 kutumbuliwa kwa kushindwa kwenda na kasi ya JPM,wengine waliambiwa kuwa wanashindwa nini kuangalia mkuu wa nchi anavyotenda ili nao waende naye sawa?

Baada ya Corona kuingia,tumeshuhudia JPM akiwahi kwenda kujiweka karantini Chato na mambo mengine ambayo hatukuwahi kufikiri kama yanaweza kufanyika nje ya ikulu sasa yanafanyika huko Chato!Mojawapo ni kama kuapisha aliowateua au kuongea na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama!

Baada ya Corona kutua bungeni(kama ilivyokuwa Dar),sasa wabunge wa upinzani wameamua kuishi kwa mfano kwenda na kasi ya JPM!Nao wameona waache kwenda bungeni na kuendelea na shughuli za kibunge wakiwa nyumbani!Ni wakati wa viongozi wengine kwenda na kasi hiyo ili twende pamoja katika kuzuia na kupambana na maambukizi ya Corona!

NB:Za kuambiwa changanya na Zako!

RIP Mahiga,RIP Ndassa,RIP Lwakatare!

Corona haina vyama!Tuchukue tahadhari!
 
Chadema imeshuka sana hadhi yake wabunge wake hawana tofauti na mtoto mdogo.
 
Safi sana, wamebaki wabinafsi humo wanaowaza posho tu, bila kuwasahau wachungaji wanaomiliki makanisa yao binafsi hawaoni aibu kukusanya watu kila jumapili, leo kuna mmoja ameandika kabisa katika ukurasa wake eti mahudhurio yameshuka na wanaobaki nyumbani ndio watoaji na hawatumi sadaka hata kwa njia ya mpesa! Waumini kwa ujinga wao hawaelewi kuwa pastor amemaanisha kuwa wanaoenda bado kanisani they are less important.
 
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni

Wabunge wa Chadema wameweka silaha chini za vita dhidi ya corona mitaani wametoroka wameenda kujifungia ndani yaani Lockdown .

Mitaani wamewaachia na kuwazilia wanachama wao ndio wapambane nayo

Kuwa wao watakuwa wanauliza tu wanachama wao kwa simu au kwa watsap kuwa vipi vita ya corona huko mitaani inaendeleaje wakiwa vyumbani!!!!

Hawa ndio hupenda kujiita makamanda huku wakivaa nguo za jeshi la mgambao!!!
 
Serikalii Sasa inatakiwa ikae chini na kuliangalia Jambo hili kwa kina.zaidi maana hali ni mbaya Sana na sisi Kama wananchi tuendelea kuchukua tahadharii majumbani kwetu na maeneo yetu ya kazi ili tuwe salama kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…