Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Marais wote waliopita walikuwa wajinga? Mbona hawakuwai kwenda vijijini kwao wakaongoza nchi kutokea huko?Ofisi ya Rais iko popote hapa TZ Be informed!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marais wote waliopita walikuwa wajinga? Mbona hawakuwai kwenda vijijini kwao wakaongoza nchi kutokea huko?Ofisi ya Rais iko popote hapa TZ Be informed!
Corona iliifuata familia ya Mbowe huko huko ilikoWe puumbavu,hivi ndugai atafikiwa lini na hiyo corona? Shenzi ninyi
Corona sio mvua hadi kusema ikinyesha wote walio nje mnaloa. Yenyewe inautaratibu wake mradi ujampa heshima yake na wewe unajijua umri umeenda, una maradhi mengine yanayo dhoofisha kinga ya mwili na utaki kuchukua tahadhari basi elewa kila siku ya mungu unachezea bahati nasibu maisha yako.Mtihani gani mugumu wakati watz wanachapakazi tu! Au wewe umejilockdown? Wabunge waoga hao kama wapigakura wao hawaogopi wanapigakazi wao wajifungia ndani.
Wewe utakuwa kula kulala unasema watu wasitoke hujui kuwa kuna watz asipotoka maana yake nyumbani kwake hawali? Pia unaposema watu wasisafiri kwenda mikoani hivi unajua kuwa vyakula vyote vinavyoliwa vinatoka mikoani? Na ili ufipate hapo Dar lazima watu wafifuate mikoani? Aubiri mzazi wako alete chakula ule kijana!
strange watu wanampongeza! Acha wapukutike yeye yuko slama! Tupukutike kwa bahati mbaya siyo haya ya kumsikiliza mtu mmoja asiyewatakia mema!"Ila Jiwe ni kima kabisa eti watu waendelee kuchapa kazi uku yeye kajificha duh"
Watoto wadogo kwani wana tatizo gani hadi uwafananishe na wabunge wa CHADEMA unaoona kuwa wameshuka hadhi!?Chadema imeshuka sana hadhi yake wabunge wake hawana tofauti na mtoto mdogo.
Kweli wewe ni mpotevuChadema imeshuka sana hadhi yake wabunge wake hawana tofauti na mtoto mdogo.
Hahaha wabunge wa ccm ni kama basi lililofeli brek,dereva karuka alafu konda kakaa mlangoni anasema " wanaoshuka mladizi wajiandae"
Sent using Jamii Forums mobile app