Yeye tu ndiyo mwerevu aliyegundua kuwa kijijini kwake nako ni Ikulu. Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote walikuwa wajinga. Hawakujua vijijini kwao nako ni ikulu wakafanyie kazi huko?Ikulu iko kila mkoa yuko ikulu.chato
Hao wengine walipenda sana dar es salaam kuliko ikulu zilizoko miikoani wakaziacha ziwe zinalala panya na mende sasa zilijengwa za nini? Magufuli kaamua zitumike shida nini?Yeye tu ndiyo mwerevu aliyegundua kuwa kijijini kwake nako ni Ikulu. Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote walikuwa wajinga. Hawakujua vijijini kwao nako ni ikulu wakafanyie kazi huko?
Acha tuassume mke wangu anamiliki danguro,so nimejifunga 30 days? Una swali lingine mkuuHuyo mkeo alikuwa na duka la nini ulilofunga asipate corona? Maduka yako mengi madanguro pia ni maduka hayo ndio hatari kwa MTU kupata corona. Lakini ya nguo,chakula nk yanaendelea kama kawaida hilo duka la mkeo lilikuwa la kuuza nini? Mpaka ulifunge kwa hasira ya kuogopa kupata corona?
Toka lini Chato pakawa na Ikulu? Na siyo Geita?Hao wengine walipenda sana dar es salaam kuliko ikulu zilizoko miikoani wakaziacha ziwe zinalala panya na mende sasa zilijengwa za nini? Magufuli kaamua zitumike shida nini?
Ndiyo dharau zenu kwa kila rais aliyepita. Huu ubaya mtalipwa mkiwa hai ili maumivu yawaingie kisawa sawaHao wengine walipenda sana dar es salaam kuliko ikulu zilizoko miikoani wakaziacha ziwe zinalala panya na mende sasa zilijengwa za nini? Magufuli kaamua zitumike shida nini?
Kunogesha zaidi; abiria anapoambiwa " wanaoshuka bondeni kwenye Kona darajani. Hapo Sasa!Hahaha kama basi lililofeli brek,dereva karuka alafu konda kakaa mlangoni anasema " wanaoshuka mladizi wajiandae"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakujua haya Kabla ?
Soma tena Andiko lao, wamesema hawataenda jimboni watatulia nyumbani kwao Dodoma ndani kwa siku 14issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Wafuasi tulishaanza kabla hata ya wabunge wetuHapo safi.
Msisahau kuwatangazia wale wafuasi wenu wakae LOCK DOWN.
hii itasaidia kupunguza watu mitaani na mijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aache posho ya 500,000/= kwa siku thubutuuuu
Oooh! Ndo mana week hiii wabunge wa chadema wamefululiza kufa sanaTetesi nilizopata ni kuwa wabunge wote Wa chadema wanaumwa corona wanaji lock down wajifukizie