Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Yeye tu ndiyo mwerevu aliyegundua kuwa kijijini kwake nako ni Ikulu. Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote walikuwa wajinga. Hawakujua vijijini kwao nako ni ikulu wakafanyie kazi huko?
Hao wengine walipenda sana dar es salaam kuliko ikulu zilizoko miikoani wakaziacha ziwe zinalala panya na mende sasa zilijengwa za nini? Magufuli kaamua zitumike shida nini?
 
Huyo mkeo alikuwa na duka la nini ulilofunga asipate corona? Maduka yako mengi madanguro pia ni maduka hayo ndio hatari kwa MTU kupata corona. Lakini ya nguo,chakula nk yanaendelea kama kawaida hilo duka la mkeo lilikuwa la kuuza nini? Mpaka ulifunge kwa hasira ya kuogopa kupata corona?
Acha tuassume mke wangu anamiliki danguro,so nimejifunga 30 days? Una swali lingine mkuu
 
Hao wengine walipenda sana dar es salaam kuliko ikulu zilizoko miikoani wakaziacha ziwe zinalala panya na mende sasa zilijengwa za nini? Magufuli kaamua zitumike shida nini?
Toka lini Chato pakawa na Ikulu? Na siyo Geita?
 
Hao wengine walipenda sana dar es salaam kuliko ikulu zilizoko miikoani wakaziacha ziwe zinalala panya na mende sasa zilijengwa za nini? Magufuli kaamua zitumike shida nini?
Ndiyo dharau zenu kwa kila rais aliyepita. Huu ubaya mtalipwa mkiwa hai ili maumivu yawaingie kisawa sawa
 
Jamani CCM hamna mtu wa kumkemea meko, anakokwenda si kuzuri kabisa...yawezekana ana matatizo ya afya ya akili.....tuwe makini watanzania tunakwenda kuisha na hii COVID-19

Katiba na Sheria za nchi zinasemaje kama Rais akishindwa kutimiza wajibu wake?
 
Uzuri wa Coronavirus huwa anapenda Sana rangi ya kijani. Tunawatakia mapumziko mema huko kuzimu waendako wabunge wa CCM
 
Nazgur,
Kujitenga siku 14 ni ili kama ana maambukizi ndani ya muda huo ataona dali; asipoona dalili baada ya muda huo atakuwa na hakika hana cha kuwaambukiza wengine ikiwemo familia endapo atachangamana nao
 
Huu uamuzi ulipaswa ufanyike mara baada ya Spika kutangaza wabunge 150 ndiyo watahudhuria vikao ikiwa mnajua n kinyume na taratibu maana Mbowe alishindwa kusikilizwa kwenye kamati za uongoz bungeni

Lkn hongeren
 
Kwa maslahi mapana ya nchi, nawaomba wabunge wa CCM waendelea kuhudhuria vikao. Wapambane mpaka tone la mwisho.

Wabunge wa Chadema waende Chato wakaji-isolate kwenye hotel moja nzuri sana, inatwa Chato Beach Resort. Chama kiwalipie.
 
Back
Top Bottom