Hukusoma tamko lao lote? Mbona ushauri wako ndicho walichokubaliana.Hawakujua haya Kabla ?
Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Mtu anapiga nyungu mara paaap anaanguka kando ya nyungu, halafu anakufa.Better late than never. Blind loyalty itawaponza wenzetu wa kijani. Waendelee kujifukiza.
Wewe lazima nyuma kumelowa. Wangapi wa chadema washakufa? Mlivyo na mawazo mabaya mwenezi wenu huyo mwenye utapiamlo aliwafananisha corona na sasa hivi wabunge wenu ndio wanadondoka. Mlifikiri Corona ikija ni kwa ajili ya wapinzani kama ambavyo wapinzani sasa wanaumizwa na bei ya sukari.Tetesi nilizopata ni kuwa wabunge wote Wa chadema wanaumwa corona wanaji lock down wajifukizie
Wanakurupukaga tuNi kama hujaelewa au we n shabiki wa corona fc ...amesema wabunge wote wa CHADEMA wamekubaliana kutoingia bungeni na watakaa majumbani kwao DODOMA kwa siku 14..
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
[/QUOTE
I would appreciate them if they could contribute their monthly income to support the fight of covid 19.
The lockdown need good money . People will need food and supplies, what strategies do they have??
It is not just opposition but giving the alternative strategies. Let them tell us what they would have done with the current situation. At least let them show solidarity with health workers! Can they support them! Offer incentives from their salaries! Okay not to the all country but in their constituencies. I only see them expressing issues with the top of their voices but their hearts are empty!
Na sasa hivi yenyewe ndio yanakufa....Hata wana jamii forum wanaounga mkono mawazo ya kichadema chadema humu jamvini ndiyo tiliopaza sauti mwanzoni kabisa tena nakumbuka niliandika "Corona ikifanya makao makuu yake sehemu fulani basi mtazika hadi muishiwe makaburi" mwisho wa kujinukuu. Nakumbuka ilikuwa mwanzoni mwa mwezi march maccm yalitushambulia yakituambia eti huko kwenu kuna Corona?
Anayetaka kutahadharisha yeye mwenyewe hajachukua tahadhari hana hata Barakoa!! Kujaribu kuelimisha mwingine wakati wewe hujaelimika ni janga kubwa!Wale watetezi wa kweli wa Wananchi Wabunge wa Chadema, baada ya kushawishi bunge kuwa ni hatari vikao kuendelea bila kuwapima wabunge na watumishi wa bunge afya zao bila mafanikio hadi wabunge 3 akiwamo waziri kufariki ndani ya siku zisizo zidi 10 wameamua kutoshiriki vikao vya bunge Ila wataendelea kuwapo Dodoma kwa shughuli zingine za kibunge.
Lema alionya kuwa corona itakapo anza kukamua wabunge watapoteana na sasa ina KAMUA KWELIView attachment 1436241
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais anasehemu nyingi sana za kukaa unafikiri ni Dodoma na Dar tu!! Ndiyo maana nikasema wanasaccos umbumbumbu hautawaisha. Hata sasa hivi unaweza ukasema yuko Chato kumbe yuko kwinginee!!Kwa ivo kulikuwa na haja gani kujenga Ikulu Dodoma!??
Sasa si ushangilie basi ass?
Kulikuwa kuna sababu ya kujenga Ikulu Dodoma kama kumbe rais anaweza kufanya kazi zake kutokea popote pale ili mradi yumo ndani ya Tanzania?Rais anasehemu nyingi sana za kukaa unafikiri ni Dodoma na Dar tu!!
Umesoma vizuri waraka wao?Hawakujua haya Kabla ?
Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Mkuu hatoki ata ndani kama zamani tulivyomzoea kipindi cha nyuma akiwa likizo alikua anafanya kazi ya kuzungukia eneo la nyumbani kwake kuangalia mandhari na miti yake kuanzia geti la chini..nyumba za makazi..bwalo la chakula..kibanda cha Mbwa..tanki la maji..hoteli za wageni..hoteli la abiria wapita njia...kwa bibi yetu..sehemu ya kupumzika...makaburi then anamalizia kanisani alafu anarudi ndani.
Kwasasa hatoki ndani kabisa.
Swali kama lako nimeshalijibu humu ndani..., narudia tena...
MAKAMANDA WA CHADEMA WAKIMBIA UWANJA WA VITA.
Leo 18:15pm 01/05/2020
Shukrani kwa Wabunge wa CCM kwa kusema hivi, " Hatutaacha kuwapitishia Watanzania bajeti yao hapa bungeni,Tunajua hatari iliyoko mbele yetu dhidi ya Corona ila tunaamini yupo Mungu kwenye hili,Wabunge wote wa CCM tutafia Uwanja wa Kazi kwa maslahi ya nchi yetu".
Ahsante Mh Kingu,Ahsanteni sana Wabunge wa CCM,kila nchi imeamua kuachana na kujifungia ndani maana haijasaidia, rejea Marekani,baada ya Marekani kufungua uchumi wake Leo wanaongelea mambo mawili,nayo ni haya,
You got do one or two things,
1.Have social relation with the virus,and proceed do business with the virus for it is not going to go away very soon,vice versa to that
2. Take Bill Gate vaccine,Kwa sasa Afrika tunayo dawa ya Madagascar ama tunaweza kuendelea kujifukiza kila siku kama sehemu ya maisha yetu.
Lockdown can not solve anything,
Vijana wa Tanzania tunaendelea kujifukiza na kuendelea kuchapa Kazi kwa maslahi ya baadae kwa nchi yangu Tanzania,tutaendelea kujifukiza kuchapa Kazi na kuiwazia mema nchi na familia zetu maana corona imeanza kutarget Wazee wetu,
Sasa Makamanda wa Chadema wametoa tangazo la kwenda kujificha na kutohudhulia bunge, Awa ndio wale wanaosema "Rais kajificha Chato" wakati Mh Rais anaagiza Ambulance, anatoa ushirikiano wa kutosha kwa Wizara ya Afya,anatoa na ushauri wa kikemia kwa kutusaidia kuthibitisha tiba ya kujifukiza,
Leo Makamanda wa Chadema wanaingia kwenye uvungu wa kitanda,wanaogopa corona, Awa ndio wanataka kuiongoza Tanzania,Kiongozi wao alimuomba Rais awe Mstari wa mbele apeleke bomberdier nchini China ikafuate barakoa kama vile sisi Tanzania hatuna uwezo wa kutengeneza barakoa! Awa ndio Chadema wanaotaka kuiongoza Tanzania,
Niwakumbushe Chadema,"Kamanda hakimbii Vita" rudini bungeni mkamalizie kupitisha bajeti sio kujificha chini ya Vitanda.
Vijana wa CCM na Viongozi wetu tunajifukiza na tunaendelea kuchapa kazi,tunapitia kenye website ya WHO,tunaangalia nini wanataka,
Tumeangalia wamesinisha mambo nadhani sita ambayo nchi inatakiwa kuyatekeleza na inaweza kuondoa lockdown yakiwa yamekamilika ama kutoweka lockdown kabisa maana haisaidii kitu,rejea Marekani.
Mfano Nchi inatakiwa ifanye mambo matatu ya msingi,
1) Testing
2) Tracing
3) Isolation.
Naweza kusema haya mambo matatu kati ya yale sita ya WHO Tanzania imeshayatekeleza, kwa namna moja ama nyingine,tukisema kupima kila mtu italeta shida na pengine in the process tunaweza kuambukizana,
Hivi ni vitu vya msingi ambavyo Chadema walitakiwa kujadili,lakini pia Vijana wetu wasomi wa Udaktari, mnafanya nini?
Saidieni NIMR iweze kupata dawa, Si wakati wa kusubiri Mzungu,Mwenyezi Mungu ameturudisha kwenye akili sawa na kila mtu atumie akili yake.
Daktari kijana wa kicongo aliye nchini Madagascar ndiye aliyegundua dawa ya Madagascar,
Vijana wetu Madaktari wa Muhimbili msilundikane tu hapo,huu ndio wakati wa kuchangamsha akili sio kusema tunasubiri WHO waaprove dawa.
Pitia kongole hili kwa kijana wa Madagascar akigundua dawa ya corona,
Dr. Jérôme Munyangi a Congolese WHO medical researcher
The MD behind Madagascar medicine
His Congolese President has asked him back home by sending presidential private jet,
Madagascar alipelekwa na WHO akiwa mwajiriwa wa kufanya UTAFITI wa magonjwa mbalimbali yakiwemo ya milipuko..
Akiwa huko CORONA ikalipuka akaunganishia COVID 19 kama sehemu ya utafiti wake.
Ni wakati wa Afrika kuanza kujivunia vya kwetu,Ahsante Dr Jerome Munyangi kwa kututoa aibu sisi Waafrika ambao Wazungu waliapa kuona maiti zetu barabarani.
Naamini unalindwa sana na SERIKALI ya Madagascar maana umeshakuwa maarufu hata Congo na kwa Afrika wewe sasa ni mtu mpya mwenye kupewa hadhi ya VVIP state treatment .
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854