Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzo mliaminishwa magu anataka kufuta uchaguzi sababu ya corona na mkasema hamtakubali! Sasa ivi mnaaminishwa magu anataka kufanya uchaguzi, hajali ugonjwa wa corona!
Mkuu ukibarehe kichwani mwako utaelewa nina maana gani!Kulikuwa kuna sababu ya kujenga Ikulu Dodoma kama kumbe rais anaweza kufanya kazi zake kutokea popote pale ili mradi yumo ndani ya Tanzania?
COVID-19 haitamalizwa kwa kujifungia ndani ya nyumba bali kuacha dhambi ambayo duniani kwa sasa imeshamiri sana ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile full stop!!Ujinga ule ule wa wakati wa Bunge la Katiba unajirudia tena. Chenge mwana CCM mwenzao tayari keshasema hiyo Bajeti si sahihi na ni LAZIMA itakuja kufumuliwa na kuandikwa upya mbele ya safari.
Lakini kupitisha Bajeti siyo vita iliyoko mbele yetu. Vita yetu ni dhidi ya COVID-19.
Khe!! Kwani COVID-19 chanzo chake ni watu kulawitiana?? Hapo Lumumba mkoje nyie watu!!COVID-19 haitamalizwa kwa kujifungia ndani ya nyumba bali kuacha dhambi ambayo duniani kwa sasa imeshamiri sana ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile full stop!!
Nitake radhi bwana. Nakuuliza ni kwa nini Serikali ilitumia mabilioni ya shilingi kujenga Ikulu Dodoma kama si lazima Rais kuwa Dodoma?Mkuu ukibarehe kichwani mwako utaelewa nina maana gani!
Kibarehe kichwani utaelewa nina maana gani.Nitake radhi bwana. Na kuuliza ni kwa nini Serikali ilitumia mabilioni ya shilingi kujenga Ikulu Dodoma kama si lazima Rais kuwa Dodoma?
Ni kiroho zaidi kama unawaza kidunia hutaelewa mkuu!Khe!! Kwani COVID-19 chanzo chake ni watu kulawitiana?? Hapo Lumumba mkoje nyie watu!!
Mara ya kwanza nilidhani ni kukosea kuandika lakini kumbe kweli hujui kuandika ama neno lenyewe hulijui. Ni "balehe" na siyo "Barehe" . Ile Ikulu ya Dodoma ilijengwa ya kazi gani kama si lazima itumiwe na Rais? Hivi Rais hana makazi yake Rasmi?Kibarehe kichwani utaelewa nina maana gani.
Kwa ivo kiroho umeshaona chanzo cha COVID-19 ni tabia ya kulawitiana!?Ni kiroho zaidi kama unawaza kidunia hutaelewa mkuu!
Ndiyo leo Mwenyezi Mungu amenijulisha jioni hii.Kwa ivo kiroho umeshaona chanzo cha COVID-19 ni tabia ya kulawitiana!?
Sasa mkuu nimekujibu several times unataka nini sasa? Narudia tena Rais anamaeneo ya kukaa Tanzania yote siyo Dar au Dodoma tu. Ikulu unazozijua ni ceremonial tu hata hayo maeneo ya Dodoma na Dar pia ana maeneo mengi tu. Ndiyo nikasema ukibalehe kichwani utaelewa lakini kama muda wa kubalehe bado ni sawa na kumpigia gita mbuzi.Mara ya kwanza nilidhani ni kukosea kuandika lakini kumbe kweli hujui kuandika ama neno lenyewe hulijui. Ni "balehe" na siyo "Barehe" . Ile Ikulu ya Dodoma ilijengwa ya kazi gani kama si lazima itumiwe na Rais? Hivi Rais hana makazi yake Rasmi?
Kwa ivo kumbe Rais hana makazi rasmi?Ndiyo nikasema ukibalehe kichwani utaelewa lakini kama muda wa kubalehe bado ni sawa na kumpigia gita mbuzi.
Wabunge wao waliotangaza kuhamia NCCR Mageuzi nao wanahusika ? Au watasubiri maelekezo kutoka kwa Mwenyekiti wao mtarajiwa?Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."