Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Yupo sahihi kwa Asilimia ngapi...__grinning__v__v__v_ ( 640 X 640 ).jpg
 
Kungekuwa na Uwezekano basi Kichwa chake chenye Akili nyingi Kingehamishiwa kwa Mkemia cha Mkemia kingewekwa Kando.
Vp umejifukiza na kuvaa barakora kwa saut ya mkemia

Its not over until its over...[emoji769]
 
Vp umejifukiza na kuvaa barakora kwa saut ya mkemia

Its not over until its over...[emoji769]

Ni Scientific Research gani ilifanyika na ikathibitishwa na WHO kama Kujifukiza inasaidia sana Kujikinga na COVID-19 Ndugu?
 
Back
Top Bottom