Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 854
- 1,476
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mtu amekula sana kodi zetu
Ametuonyesha umuhim wa kuwa kiongoz na c mtawala
Kod zip??Huyu mtu amekula sana kodi zetu
Mbowe The greatAmetuonyesha umuhim wa kuwa kiongoz na c mtawala
Its not over until its over...[emoji769]
Karibuni kwa ajili ya appreciation zenu kwa kamanda wa anga,KUB na mbungeView attachment 1436994
Its not over until its over...[emoji769]
Sema tu ndo hvo tatzo letu Africa ukiwa na idea afu ni mpinzani unakua hausikilizw tunatengeneza taifa baya sana hapo badaeMbowe The great
Vp umejifukiza na kuvaa barakora kwa saut ya mkemiaKungekuwa na Uwezekano basi Kichwa chake chenye Akili nyingi Kingehamishiwa kwa Mkemia cha Mkemia kingewekwa Kando.
Vp umejifukiza na kuvaa barakora kwa saut ya mkemia
Its not over until its over...[emoji769]
Nadhani ni kwa research za uchawi tuNi Scientific Research gani ilifanyika na ikathibitishwa na WHO kama Kujifukiza ( Nyungu ) inasaidia Kujikinga na CORONA Ndugu?
Nadhani ni kwa research za uchawi tu
Ni ushaur wa mkemiaNi Scientific Research gani ilifanyika na ikathibitishwa na WHO kama Kujifukiza inasaidia sana Kujikinga na COVID-19 Ndugu?