Hawakuhitaji hata kupiga tarumbeta Ku ji lock down in MTU mwenyewe kuamua kuwa mimu.mbowe na wangu Joyce Mukya tu na ji lock down tujifukizie so kitu cha kusubiri MTU aambiwe na mwingineNaunga mkono maamuzi haya ya akili ya wabunge wa CDM kutokuendelea na vikao vya bunge. Hii ndiyo maana halisi ya kuongea kwa vitendo. Lakini hii inaonesha kuwa kuwa si lazima kusubiri kila kitu kiamuliwe na viongozi wa CCM ambao hawana maono.
Wabunge hawaendeshi nchi!!Sasa hapo nimekuelewa kuwa mnakosea kumlaumu Rais.
Jiwe ndio nani??Kwani jiwe alichaguliwa ili akakae Chato?
Umesoma au umeandika tu??Hawakujua haya Kabla ?
Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Jowe mwenyewe kakimbia kujificha Chato!Za kuambiwa changanya na zako!Hao waoga sana mbona wapigakura wao tunaendelea kuchapakazi kama kawa?
umempa wewe?
Hii ni sababu nyingine ya kuwaona wapinzani ni wasanii tu,hakuna watu pale.Ufe kizembe eti kwa sababu unaheshimu kura za wananchi.Kwenye hatari unajiongeza mwenyewe. Unadhani jamaa aliyejichimbia chato ni mjinga eeh! Naye hajaheshimu kura za wananchi? Ushujaa wa kupambana na simba mikono mitupu aliuweza Samson wa kwenye Bible peke yake. Wala usifikiri hao wananchi hawana akili ya kupambanua mambo na kuona kinachoendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π π ,mimi mwenyewe mgeni!Jiwe ndio nani??
RIPCoward move!
Kama jiwe alivyokimbilia kijijini,si ndivyo?Pia nimepata taarifa kuwa Waziri wa Fedha kamrudisha mkewe kijijini!Za kuambiwa changanya na zako!Waliomba ubunge wa nini kama wanalimitations katika kuwawakilisha wananchi?? Ukiona huwezi jambo unaacha tu sio kudangaya watu na kuja kuwakimbia huko mbeleni, huo ni kama utapeli flani hivi.
Nawashauri wananchi nao wawakimbie watakapokuja kuwaomba kura kipindi cha uchaguzi kwani wameonesha kutoheshimu kura zao.
Hawa ni viongozi wa watu kwahiyo kutangaza hatua walizochukuwa ni muhimu ili wanaowawakilisha wajue kinachoondelea juu yao.Hawakuhitaji hata kupiga tarumbeta Ku ji lock down in MTU mwenyewe kuamua kuwa mimu.mbowe na wangu Joyce Mukya tu na ji lock down tujifukizie so kitu cha kusubiri MTU aambiwe na mwingine
Tetesi nilizopata ni kuwa wabunge wote Wa chadema wanaumwa corona wanaji lock down wajifukizie