Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Naunga mkono maamuzi haya ya akili ya wabunge wa CDM kutokuendelea na vikao vya bunge. Hii ndiyo maana halisi ya kuongea kwa vitendo. Lakini hii inaonesha kuwa kuwa si lazima kusubiri kila kitu kiamuliwe na viongozi wa CCM ambao hawana maono.
Hawakuhitaji hata kupiga tarumbeta Ku ji lock down in MTU mwenyewe kuamua kuwa mimu.mbowe na wangu Joyce Mukya tu na ji lock down tujifukizie so kitu cha kusubiri MTU aambiwe na mwingine
 
stroke, Ufe kizembe eti kwa sababu unaheshimu kura za wananchi.Kwenye hatari unajiongeza mwenyewe. Unadhani jamaa aliyejichimbia chato ni mjinga eeh! Naye hajaheshimu kura za wananchi? Ushujaa wa kupambana na simba mikono mitupu aliuweza Samson wa kwenye Bible peke yake. Wala usifikiri hao wananchi hawana akili ya kupambanua mambo na kuona kinachoendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufe kizembe eti kwa sababu unaheshimu kura za wananchi.Kwenye hatari unajiongeza mwenyewe. Unadhani jamaa aliyejichimbia chato ni mjinga eeh! Naye hajaheshimu kura za wananchi? Ushujaa wa kupambana na simba mikono mitupu aliuweza Samson wa kwenye Bible peke yake. Wala usifikiri hao wananchi hawana akili ya kupambanua mambo na kuona kinachoendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni sababu nyingine ya kuwaona wapinzani ni wasanii tu,hakuna watu pale.

Naamini kama hiki kizazi kingekuwapo miaka ile wakoloni wakiwepo, mpaka sasa tungekuwa bado tunatawaliwa.
 
Nawapenda watanzania wenzangu wote.

Napendekeza bunge liendelee kwa mikutano ya kutumia video conference kama ilivyofanyika katika mkutano mmoja wapo wa SADCC.

Kama wabunge hawapendi hilo basi paandaliwe hapo karibu na bunge hospitali ua dharura yenye vifaa vyote kuhusu Corona.

Kumkimbiza mgonjwa wa Corona hospitali ongeza uandikishaji kunaongeza hatari ya madhara makubwa kwa mgonjwa.

Sina hakika kama kuna wabunge wetu wanaofuatilia JF. Sidhani kama kuendelea kubakia ndani ya jengo la bunge ni ushujaa katika hali hii. Tunawapenda.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliomba ubunge wa nini kama wanalimitations katika kuwawakilisha wananchi?? Ukiona huwezi jambo unaacha tu sio kudangaya watu na kuja kuwakimbia huko mbeleni, huo ni kama utapeli flani hivi.

Nawashauri wananchi nao wawakimbie watakapokuja kuwaomba kura kipindi cha uchaguzi kwani wameonesha kutoheshimu kura zao.
Kama jiwe alivyokimbilia kijijini,si ndivyo?Pia nimepata taarifa kuwa Waziri wa Fedha kamrudisha mkewe kijijini!Za kuambiwa changanya na zako!
 
CHADEMA nimeanza kuwaelewa kwa mara nyingine tena, najua mnaakiba ya pesa na mali ambazo zitawawezesha ndani ya hizo siku bila shida heco kwenu.

Uzima kwanza mambo mengine baadae, kasheshe ni siye kitaa ambao hata akiba ya kula masaa 48 HATUNA, inatubidi tuendelee kumsihi JEHOVA AFANYE WEPESI NA KUTENDA MIUJIZA AMEEN!!.
 
Hawakuhitaji hata kupiga tarumbeta Ku ji lock down in MTU mwenyewe kuamua kuwa mimu.mbowe na wangu Joyce Mukya tu na ji lock down tujifukizie so kitu cha kusubiri MTU aambiwe na mwingine
Hawa ni viongozi wa watu kwahiyo kutangaza hatua walizochukuwa ni muhimu ili wanaowawakilisha wajue kinachoondelea juu yao.

Kwanini kifo cha Balozi Mahiga kimepigiwa tarumbeta badala ya kumzika kimya kimya? Au unahisi hatua ya kutangaza maamuzi yao ni sawa na kuiaibisha serikali inayofanya ukaidi dhidi ya korona?
 
Wabunge wote wasiruhusiwe kutoka Dodoma, serikali itafute hoteli iwaweke sehemu moja hadi hapo watalaam watakapo wapima na kugundua hawana corona ndio waruhusiwe kutoka, wakitoka sasa hivi na kusafiri au kujichanganya na raia ni hatari zaidi, hivi hii serikali ndio ile ya wanyonge inayo ruhusu muingiliano wa watu kiholela Kipindi hiki?
 
Back
Top Bottom