Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Tumeshasema hakuna lockdown
 
Umesoma au umeandika tu??

Ni kama hujaelewa au we n shabiki wa corona fc ...amesema wabunge wote wa CHADEMA wamekubaliana kutoingia bungeni na watakaa majumbani kwao DODOMA kwa siku 14..

Uwe unasoma kwanza acha kukurupuka kama kipanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh Aiseee..., hivi unajua hii habari ilikuja mwanzo kama tetesi ?

Pia hata kama wameamua sasa hivi hawakujua hayo tangia mwanzo kwamba kuwa kwao hapo ni hatari na matatizo ?, Ingawa better late than never ila wabunge wote (politicians are two sides of the same coin)...

Hili Jambo tangia mwanzo kulikuwa hakuna sababu ya kwenda Dodoma (wengi tunaona kilichowapeleka huko labda ni posho)..., anyway in this day and age wangeshindwa kufanya hio mikutano kwa kutumia teleconference ?

Hata hizo siku 14 hazitoshi kwa self quarantine how do they know the risk wont happen in day 13.... au una uhakika hizo self quarantine zitakuwa kweli na hawatatoka ?
 
Hawakujua haya Kabla ?

Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Bora hawa ambao hawakujua lakini sasa wamezinduka kuliko wale ambao mpaka sasa bado hawajielewi.
 
Hulioni tatizo la corona?
Corona ipo , ila kuna wajibu ambao wanapaswa watimize.

Makamanda uchwara wanaovaa magwanda kwenye amani ila vita ikitokea wanajificha uvunguni.
 
KeyserSoze,
Mpwa twende taratibu basi! Karantini ni siku 14 sasa unataka waongeze nyingine ili uje kusema wanakaa na kula pesa tu? Nakubaliana na wewe kabisa kuwa hakuna sababu ya kushindwa kufanya vikao vya bunge kwa teleconference! Zile Billions za misaada zinaishia wapi? Sielewi
 
Hii ni sababu nyingine ya kuwaona wapinzani ni wasanii tu,hakuna watu pale.

Naamini kama hiki kizazi kingekuwapo miaka ile wakoloni wakiwepo, mpaka sasa tungekuwa bado tunatawaliwa.
Wakolloni walikuwa binadamu wanaoonekana. Corona haionekani mpaka upimwe.
Huwezi kulinganisha ujasiri wa kupambana na mkoloni na ujasiri wa kupambana na corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Aiseee..., hivi unajua hii habari ilikuja mwanzo kama tetesi ?
Kwa hiyo unatakaje?
Pia hata kama wameamua sasa hivi hawakujua hayo tangia mwanzo kwamba kuwa kwao hapo ni hatari na matatizo ?, Ingawa better late than never ila wabunge wote (politicians two sides of the same coin)...
Bora walio zinduka kuliko ambao mpaka bado wamelala na hawajulikan wataamka lini!
Hata hizo siku 14 hazitoshi kwa self quarantine how do they know the risk wont happen in day 13.... au una uhakika hizo self quarantine zitakuwa kweli na hawatatoka ?
Nadhani wanafwata ushauri wa wataalmu kwamba karantini iatakiwa iwe 14 days. Hapo hakuna tatizo.
 
Wakolloni walikuwa binadamu wanaoonekana.
Corona haionekani mpaka upimwe.
Huwezi kulinganisha ujasiri wa kupambana na mkoloni na ujasiri wa kupambana na corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita ni vita tu,

Hii nayo ni vita, inapaswa waache kujiita makamanda na kuvaa magwanda kwakua vita hawaviwezi hawa, kwenye amani wanajiita makamanda vita ikija wanakimbia uvunguni mwa kitanda, haha, makamanda uchwara wa chadema.
 
Corona ipo , ila kuna wajibu ambao wanapaswa watimize.

Makamanda uchwara wanaovaa magwanda kwenye amani ila vita ikitokea wanajificha uvunguni.
Bora wanaokimbilia uvunguni lakini wanabaki nyumbani kwao kuliko amiri jeshi mkuu anayekimbia nyumba na mkoa kwa ujumla na anaenda kujifungia chattle.
 
Wakae nyumbani tu, as kodi zetu zinawapa kiburi hicho.

Ila watambue kwamba, wananchi hawajawachagua ili wakakae nyumbani, waliwachagua ili wakawawakilishe bungeni.
Magufuli tulimpa kazi akae nyumbani anatuwakilisha wapi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…