YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hatupingi tupinge kwa lipi hata wewe uki ji lock down poa tu sio kesi ni uamuzi wako binafsiKwa ivo CCM mnapiga wabunge wa CHADEMA kujiweka kwenye Karantini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatupingi tupinge kwa lipi hata wewe uki ji lock down poa tu sio kesi ni uamuzi wako binafsiKwa ivo CCM mnapiga wabunge wa CHADEMA kujiweka kwenye Karantini??
Mkuu hiyo inaitwa Emotional Quotient (EQ)Wewe unadai kwamba "huongei na Robot" lakini unataka nitumie Robot (Google) kupata tafsiri ya neno uliloandika nisilolielewa!!
Kuwa na msimamo basi japo kwa jambo hili!!
Tumeshasema hakuna lockdownWabunge wote wasiruhusiwe kutoka Dodoma, serikali itafute hoteli iwaweke sehemu moja hadi hapo watalaam watakapo wapima na kugundua hawana corona ndio waruhusiwe kutoka, wakitoka sasa hivi na kusafiri au kujichanganya na raia ni hatari zaidi, hivi hii serikali ndio ile ya wanyonge inayo ruhusu muingiliano wa watu kiholela Kipindi hiki?
Hulioni tatizo la corona?Kwa akili yako ndefu unafikiri kukimbia bunge wakati waliomba kazi ya ubunge ni sahihi??
Umesoma au umeandika tu??
Ni kama hujaelewa au we n shabiki wa corona fc ...amesema wabunge wote wa CHADEMA wamekubaliana kutoingia bungeni na watakaa majumbani kwao DODOMA kwa siku 14..
Duh Aiseee..., hivi unajua hii habari ilikuja mwanzo kama tetesi ?Looh, kwanini umekomenti kabla hujasoma?
Msigwa alianza kutoa hoja kabla hata corona haijaingia nchini kuwa bunge lijadili athari na mikakati...bunge chini ya Ndugai likibeza mchango huo.
Wabunge upinzani kila wasimamapo hushauri bunge kuhusu hatua za kuchukua hakuna anayewasikiliza.
Na wamesema watasalia Dodoma majumbani mwao hawaendi majimboni
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hawa ambao hawakujua lakini sasa wamezinduka kuliko wale ambao mpaka sasa bado hawajielewi.Hawakujua haya Kabla ?
Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Mishahara na uhai wa mtu ni kipi bora wewe bwege? Mama Rwakatare na Ndassa huko kaburini wanapokea mishahara? Mnathamini pesa kuliko utu?
Eti, "spika Nduga simamia hii".
Asimamie utopolo? Nyau kasoro mkia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa muktadha wa hoja yako hapa chini unaposema EQ ya Jile79 ni ndogo sana ulikuwa una maanisha nini?Mkuu hiyo inaitwa Emotional Quotient (EQ)
Huwezi jua wewe ass uwezo wako wa IQ na EQ ni mdogo sana!
Corona ipo , ila kuna wajibu ambao wanapaswa watimize.Hulioni tatizo la corona?
Wakolloni walikuwa binadamu wanaoonekana. Corona haionekani mpaka upimwe.Hii ni sababu nyingine ya kuwaona wapinzani ni wasanii tu,hakuna watu pale.
Naamini kama hiki kizazi kingekuwapo miaka ile wakoloni wakiwepo, mpaka sasa tungekuwa bado tunatawaliwa.
Unazungumzia jamaa aliyekimbia CHATO huku akisisitiza kuchapa kazi kumbe yeye yupo uvunguni chato?Corona ipo , ila kuna wajibu ambao wanapaswa watimize.
Makamanda uchwara wanaovaa magwanda kwenye amani ila vita ikitokea wanajificha uvunguni.
Kwa hiyo unatakaje?Duh Aiseee..., hivi unajua hii habari ilikuja mwanzo kama tetesi ?
Bora walio zinduka kuliko ambao mpaka bado wamelala na hawajulikan wataamka lini!Pia hata kama wameamua sasa hivi hawakujua hayo tangia mwanzo kwamba kuwa kwao hapo ni hatari na matatizo ?, Ingawa better late than never ila wabunge wote (politicians two sides of the same coin)...
Nadhani wanafwata ushauri wa wataalmu kwamba karantini iatakiwa iwe 14 days. Hapo hakuna tatizo.Hata hizo siku 14 hazitoshi kwa self quarantine how do they know the risk wont happen in day 13.... au una uhakika hizo self quarantine zitakuwa kweli na hawatatoka ?
Umesoma mpaka mwisho?Hawakujua haya Kabla ?
Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Vita ni vita tu,Wakolloni walikuwa binadamu wanaoonekana.
Corona haionekani mpaka upimwe.
Huwezi kulinganisha ujasiri wa kupambana na mkoloni na ujasiri wa kupambana na corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wanaokimbilia uvunguni lakini wanabaki nyumbani kwao kuliko amiri jeshi mkuu anayekimbia nyumba na mkoa kwa ujumla na anaenda kujifungia chattle.Corona ipo , ila kuna wajibu ambao wanapaswa watimize.
Makamanda uchwara wanaovaa magwanda kwenye amani ila vita ikitokea wanajificha uvunguni.
Magufuli tulimpa kazi akae nyumbani anatuwakilisha wapi kwa sasaWakae nyumbani tu, as kodi zetu zinawapa kiburi hicho.
Ila watambue kwamba, wananchi hawajawachagua ili wakakae nyumbani, waliwachagua ili wakawawakilishe bungeni.