Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Bora wanaokimbilia uvunguni lakini wanabaki nyumbani kwao kuliko amiri jeshi mkuu anayekimbia nyumba na mkoa kwa ujumla na anaenda kujifungia chattle.
Nimehitimisha kuwa chadema imejaa makunguru tupu.
 
Mtu anayejali hafanyi yale anayoambia tu bali anakwenda zaidi kuliko anayoambiwa (wameambiwa wakae 14 days) ila baada ya hizo siku nadhani watarudi makwao..., sasa tuna uhakika watakaa kweli ndani bila muingiliano (rejea story ya wale wanajeshi wa Italy waliokuwa wamekaa sehemu bila muingiliano wakakutwa na Corona) which means kuna watu walikuwa wanatoroka ndani na kufanya yao..

Ila yote haya ni immaterial, bottom line ni kwamba wote as a whole Upinzani na wenye nchi walipotea step kuwepo kule, kufanya kile walichofanya.... (no doubt); kwa watu ambao wapo supposed kutuwakilisha na ku-act accordingly walichokifanya sikubaliani nacho hata chembe (in my humble opinion)
 
Vita ni vita tu,

Hii nayo ni vita, inapaswa waache kujiita makamanda na kuvaa magwanda kwakua vita hawaviwezi hawa, kwenye amani wanajiita makamanda vita ikija wanakimbia uvunguni mwa kitanda, haha, makamanda uchwara wa chadema.
Wewe nawe una mawazo ya kizamani sana. Sijui nyinyi watu wa Lumumba mkoje??

Hao wabunge ndiyo wako kwenye mahospitali wanakopelekwa wagonjwa wa COVID-19? Kubakia kwao bungeni kungesaidia vipi kufanya vita dhidi ya COVID-19 iwe rahisi?
 
denooJ,
HONGERA sana! tena sana!
Hii ndo hatua ya kuonesha ufahamu. Lakini siyo ile hotuba ambayo Mbowe uliitoa nje ya Bunge, it was a misfire! Ulishindwaje kutoa maoni kama hayo ndani ya bunge wakati siku hiyo kulikuwa na majadiliano ya wizara ya afya? Au ni kuigiza ku-command taifa wakati huna instruments.

Kwa uamuzi huu nawapa pongezi CHADEMA pamoja na kwamba it's too late! and unproductive. Ukijiweka kwa wiki mbili, baadaye utarudi au una maana gani? Unarudi bungeni kuungana na wale ambao hawakujiweka karantini! Achaneni mambo ya posho na showup za mwaka wa uchaguzi.
 
Safi sana CDM ni dharau zidi ya watanzania kujadilia budget wakati watu wapo kwenye mtihani mgumu wa kupambana afya na uhai wao.
 
Wakae nyumbani tu, as kodi zetu zinawapa kiburi hicho.

Ila watambue kwamba, wananchi hawajawachagua ili wakakae nyumbani, waliwachagua ili wakawawakilishe bungeni.
ila kuna wengine wamechaguliwa kunywa kahawa na wanyonge kijijini kwao
 
Kwa hiyo unatakaje?

Bora walio zinduka kuliko ambao mpaka bado wamelala na hawajulikan wataamka lini!

Nadhani wanafwata ushauri wa wataalmu kwamba karantini iatakiwa iwe 14 days. Hapo hakuna tatizo.
Bora wao ukilinganisha na nani ?, Kuzinduka kwao sasa hizi hakufuti makosa waliyofanya mwanzo..., (ndio maana nikasema better late than never) ingawa naweza kusema tayari its late if not too late...
 
Excellent!! Nilikuwa nashangaa mnasindikiza wenzenu kujadili maji na barabara (bajeti) wakati mnaona tupo kwenye hatari kuu!! Enyi CCM ninani aliye waroga? Badala mjadili janga linalotutafuna mnang'ang'ana kujadili bajeti wakati wala haitobadilishwa wala haitofuatwa na sirikali.

Bulaya ameonesha uwezo wa kifikra kuliko kiongozi wake huko mjengoni!! Tunamsihi rahisi akataze ibada za kanisani/msikitini watu wanateketea... Inampasa ajali maisha ya watu kama anavyojali yakwake!! Mbona yeye amekimbilia chato?? Mawaziri wake na wabunge wake wanaangamia kwakukosa maarifa huko dodoma yeye kajifungia kijijini kwake.

Sasa kilakifo tutakomenti hivi
# JPM,THATS NOT LEADERSHIP!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…