Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Nimehitimisha kuwa chadema imejaa makunguru tupu.Bora wanaokimbilia uvunguni lakini wanabaki nyumbani kwao kuliko amiri jeshi mkuu anayekimbia nyumba na mkoa kwa ujumla na anaenda kujifungia chattle.