Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama hujaelewa au we n shabiki wa corona fc ...amesema wabunge wote wa CHADEMA wamekubaliana kutoingia bungeni na watakaa majumbani kwao DODOMA kwa siku 14..Hawakujua haya Kabla ?
Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Saccos wamekimbia Bunge lakini tulishawazoea siyo mara ya kwanza kukimbia hata bunge la katiba walikimbia lakini leo wanataka Katiba Mpya!"Ila Jiwe ni kima kabisa eti watu waendelee kuchapa kazi uku yeye kajificha duh"
Hapana, Albert Msando yamemkuta huko chuga
Hao waoga sana mbona wapigakura wao tunaendelea kuchapakazi kama kawa?Ni kama hujaelewa au we n shabiki wa corona fc ...amesema wabunge wote wa CHADEMA wamekubaliana kutoingia bungeni na watakaa majumbani kwao DODOMA kwa siku 14..
Mkuu hatoki ata ndani kama zamani tulivyomzoea kipindi cha nyuma akiwa likizo alikua anafanya kazi ya kuzungukia eneo la nyumbani kwake kuangalia mandhari na miti yake kuanzia geti la chini..nyumba za makazi..bwalo la chakula..kibanda cha Mbwa..tanki la maji..hoteli za wageni..hoteli la abiria wapita njia...kwa bibi yetu..sehemu ya kupumzika...makaburi then anamalizia kanisani alafu anarudi ndani."Ila Jiwe ni kima kabisa eti watu waendelee kuchapa kazi uku yeye kajificha duh"
Ukipita kichakani ukakuta nyoka wengi utamsubiri ,mshirikina kingwangala atangaze kuwa kwenye kichaka kuna nyoka wengi wkt umeona wewe.......Akili mbovu za lumumba kisa buku7
ccm ndio saccos bana kuna mtu kajichimbia anachota pesa za umm na kufanya anachotaka.....zingien ananunulia wabunge wala hakuna liccm la kumhoji......amechota 1.5tn hakuna lisisiemu linahoji hii ndio saccos ya wenyewe tangu uhuru ,mbwa weweSaccos wamekimbia Bunge lakini tulishawazoea siyo mara ya kwanza kukimbia hata bunge la katiba walikimbia lakini leo wanataka Katiba Mpya!
Sasa kwani hujasikia serikali imeshasema kupunguza mikusanyiko isiyo ya lazima?Mkuu hatoki ata ndani kama zamani tulivyomzoea kipindi cha nyuma akiwa likizo alikua anafanya kazi ya kuzungukia eneo la nyumbani kwake kuangalia mandhari na miti yake kuanzia geti la chini..nyumba za makazi..bwalo la chakula..kibanda cha Mbwa..tanki la maji..hoteli za wageni..hoteli la abiria wapita njia...kwa bibi yetu..sehemu ya kupumzika...makaburi then anamalizia kanisani alafu anarudi ndani.
Kwasasa hatoki ndani kabisa.
Kwa akili zao mbovu za lile jitu gomvi pale kwenye kiti cha supika kitakachofuata watapeleka kwa hati ya dharura azimio la kuwavua ubunge wabunge wote wa chademaCcm wanasemaje
Kumbe unaelewa huna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kutoa mapovu tu nyuma ya keyboard!ccm ndio saccos bana kuna mtu kajichimbia anachota pesa za umm na kufanya anachotaka.....zingien ananunulia wabunge wala hakuna liccm la kumhoji......amechota 1.5tn hakuna lisisiemu linahoji hii ndio saccos ya wenyewe tangu uhuru ,mbwa wewe
Coward move!intelligent move!
Hawakujua haya Kabla ?
Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...